@najmamakopa: BAADHI YA NDOTO ZENYE MAANA KWAKO KUOTA UKO CHOONI MAANA YAKE NI KAMA KUNA PESA UNA DAI UTALIPWA NJIA ZA PESA ZITAFUNGUKA .. KUOTA UNATOKA JUU UNAANGUKA MAANA YAKE NI UADUI NA KUFELI KATIKA MAISHA KUOTA UNAVUKA DARI MAANA YAKE KURUKA VIKWAZO NA KUFIKIA KATIKA MAFANIKIO NK .. KUOTA UNAFUATWA NA MNYAMA .. MAANA YAKE NI ASILIA YA KWENU INAKUDAI JAMBO KUOTA UNAFUKUZWA NA NG'OMBE MAANA YAKE NI UADUI AU WACHAWI WANAHANGAIKA NA WEWE KUOTA UNAOGA MAANA YAKE KUJITOA MIKOSI NK KUOTA KUMUONA MTU MWENYE JINA KUBWA MAANA YAKE NI UFALME NYOTA YAKO KUWAKA/KUNG'AA NK .. KUOTA UNA PANDA MLIMA MAANA YAKE NI MAFANIKIO NA KUPANDA KIMAISHA NK KUOTA NYUMBA INAUNGUA MAANA YAKE NI .. KUFILISIKA KUOTA MTU UNAEMJUA NA ALISHAAGA DUNIA YAANI TAYARI ALISHAKUFA .. MAANA YAKE MZIMU UNA DAI AU UTAPITIA CHANGAMOTO NYINGI KUOTA UKO KATIKA NYUMBA YA ZAMANI NA HAINA SAMANI .. MAANA YAKE NI ONGEZA IBADA SANA NA MRUDIE MUNGU .. KUOTA NYOKA MAANA YAKE NI UNA VIUMBE MAPACHA AU UADUI .. KUOTA UNAENDESHA GARI MAANA YAKE NI MAFANIKIO AU UKO KWENYE NDEGE .. KUOTA KUMUONA KICHAA MAANA YAKE NI .. KWENU KATIKA UKOO MNAKIUMBE KICHAA ANADAI NA KUNA PESA UTAPATA .. KUOTA UNAKIMBIZWA NA WATU MAANA YAKE NI UADUI .. KUOTA MTU ANANENEPA MAANA YAKE NI ATAUGUA SANA AYA SASA NIAMBIE WEWE UNAOTA NDOTO GANI NIKUSAIDIE POPOTE ULIPO PALE NIPIGIE SM DOCTOR WAKO NAJMA NIPO +255782181833 #TibaAsili #MgangaWaTibaAsili #Afya #AfyaYakoNimuhimu #TibaYaAsili
pochi yangu imeibiwa ikiwa na pesa pamoja na cm nikaachiwa kamba ya hiyo pochi Nilokuwa nibeibeba begani
2026-09-29 20:30:56
2
Dickson Mollel :
mm nimeota nimeenda kwa mama yangu mzazi kumsalimia baada ya mda akanituhumu nimekula sukari yake lakini nilivyoona anapiga kelele nikatoa elfu tano nikampa nikamwambia kanunie sukari nyingine akanyamaza nini maana yake
2026-09-29 20:29:43
2
SURVIVOR GANG888 :
Allah akulinde🥰🤲🏻
2026-10-11 10:28:29
0
user8197836887527 :
nilikuwa nimelal mchan juzi nikaota nipo kwenye ndege
2026-10-09 17:22:31
1
latifaharifu :
na nimeota nipo katika kijiji ambacho nyumba zake zimeezekwa nyasi juu ya paa la nyumba na halafu nje ya hiyo nyumba kuna mti mkubwa kama mvinje na pia wapo watu wengi wamekaa kitako kama vile wanamkutano na pembeni kuna maiti amekufa amefunikwa shuka jeupe baada ya kumsogelea huyo maiti na kumshika sehemu ya kichwa maiti ile ikafufuka watu wote waliokusanyika kwenye hicho kikao wamekimbia hapohapo nikashituka kutoka usingizini
2026-10-09 11:09:51
2
Jay mamba :
Ukiota umebeba mzigo mzito began alafu umetupa chini? hii ndoto ina maana gani?
2026-09-29 20:14:42
1
Ms mary :
nimeotaaaa ni kamaaa mafurikooo.niko na watot.wanguuu tunavukaaaa yanazidiii nikarudiiii
2026-09-30 11:59:29
2
Yusra Charles2212 :
mm nilisha wai kuota mt. alie kufa na namjua pia naomba unisaidie niliwai kuota kuna kiumbe kinanisisitiza nifanye sana ibada nikiwa mkaidi ataniotesha funza mwili mzima hii ndoto inamaana gani
2026-09-29 14:46:58
0
Zubeda Abdallah :
Namuota sana mama yangu na ameshatangulia njia ya haqi
2026-10-05 11:31:15
0
zainabjumamselem :
halaf nishaiyota ndoto ya ngombe akiwa anawatu wanAmuendesha nagari lake wapo wawili aongombe kwenye Gari moja navija wakiume wamepanda kama crosini wanapinda namie natokea kama lilegari nilataka kunigonga nakwepa ndoto hii nishaiota kama mara 3 hivihivi inamana gani
2026-10-01 16:30:09
1
omary zombe :
Mm nimeota naendesha gar
2026-10-07 17:51:23
0
Suha Said :
mimi hapa nmeota nyoka mara nying wananiuma lakin sihis maumiv
na nmeshaota nipo na marehem pia anakula mbele yangu na kutabasam
na nmeota napigana na watu siwajui mpaka napaa angani naweza jua mana yake
2026-10-05 16:08:13
0
isimbula isimbula hassan :
nipo mtoni kuna maji lakini sio mengi Ila kuna uwazi mkubwa hatari
2026-10-07 13:09:07
0
mrs chichi :
mm nakula usingizin pia vyakula ni aina mbili maranying naot nakula pilau au wali wa maharage sjuw nd nn
2026-10-07 08:38:23
0
latifaharifu :
na ndoto nyingine nimeota nimeenda kijijini kwetu nikaenda kuonana na shangazi yangu shangazi akanipeleka msituni kwenye mti mkubwa juu ya huo mti kuna nyoka mkubwa ameshika kikapu mdomoni mwake huyo nyoka shangazi akanyoosha mikono yake juu na nyoka huyo akakishusha kikapu hicho mikononi mwa shangazi baada ya shangazi kupokea hicho kikapo akanikabizi mimi baada ya hapo nikashituka kutoka usingizini
2026-10-09 11:15:54
1
latifaharifu :
mimi nimeota naanguka kwenye shimo refu lisilokuwa na mwisho na mwili wote naona hauna nguvu pindi ninapoanguka katika hilo shimo lisilokuwa na mwisho
2026-10-09 11:04:08
0
Damyur :
Mie naota nyoka kilacku na muda mwengine naon kam niko karibu nae
2026-10-11 17:10:02
0
aisha mnyanga :
mimeota nakimbizwa na tembo
2026-10-01 14:26:59
0
Anuary Juma566 :
habari nmeota napaaa kutoka mkoa mmoja kwenda mkoa mwingine nanikaota napaa kutoka mwanzo wagorofa refu mpaka mwisho wahilo gorofa nanikaota mvua inanyesha kubwa lakini kuna mavi yamezagaa mitaani nakanyaga mpaka miguu inazama
2026-10-04 11:50:22
0
Abdalla bora :
zamani niliwa naota niko.mahali pachafu kama chooni kinyenzi kitele hapo sasa sioni tena
2026-10-11 15:41:34
0
Rahma Suleiman :
Naota napnda milima kupambana namnyam ain ya dragon
2026-10-01 19:43:16
0
zainabjumamselem :
mimi nimeota nimetalala juu yakisima halaf ndani yakisima Manalapan washakufa kuku vyakula majiyake nusu Kisha machafu yananuka halaf juu ichokisima imezingizwa kamba hakitumiki sasapale nilipo lala nikawamzitokutoa nikiwa nahofu kuingia lakini nilijikaza nikaweza kutoka pale juu yakisima nikashuka chini inamanisha nini
2026-10-01 16:27:35
0
Greceminaa Shoko :
nilitoa nimeenda nyumbani Kwa Shangazi yangu alafu ndani kulikuwa na mkusanyiko wawatu nikavua viatu mlangoni nyeupe kuingia ndani Tu akili ikaniambia kunamtu kaiba viatu natoka nakuta unty yangu pale nikaanza kugomba nataka viatu vyangu kila ninavyo gomba Magali ya kifaari yanajaa watu wanashuka wanakuja kutaka kujua kuna nn SHANGAZ na binti yake wanaambiana tukamletee cz watu wamejaa Sana akaenda kuniletea vingine nikagoma nikasema nataka vile vile vyangu vyeupe wakaenda kuniletea Kwa uzuni mno
2026-09-30 05:23:32
1
To see more videos from user @najmamakopa, please go to the Tikwm
homepage.