Mungu wetu kama kunasehemu tulikosea kwa mwamba huyu baba yetu magufuli tusamehe sana Endelea kumpa pumziko la milele[Crying][Crying][Crying][Crying][Crying][Crying][Crying][Crying][Crying][Crying][Crying][Crying][Crying][Crying][Crying][Crying][Crying][Crying][Crying][Crying][Crying][Crying][Crying][Crying][Crying][Crying][Crying][Pray]
2026-09-29 12:58:24
1
Amina Mlowe :
Natamani Arud atena
2026-09-29 10:37:05
6
Christina Patrice :
tutakukumbuka sana baba yetu
2026-09-29 09:02:40
3
J Queen :
pumzika kwa amani jpm
2026-09-29 10:35:14
2
Ms Maker :
2026-09-29 10:43:48
0
user1451300986073 :
Natabua had Leo bado raisi wetu
2026-09-29 05:27:46
3
no smorking :
mungu akupe mwisho mwema mkomboz wetu sisi wanyonge
2026-09-29 12:37:17
1
hey :
😭😭😭
2026-09-29 09:57:42
1
fahuziya chma :
2026-09-29 09:13:50
1
user7124204847311 :
kabisa
2026-09-29 04:30:56
1
aziza milao :
rais
2026-09-29 07:53:14
1
zaka sam :
1962 kalikuwa kazur
2026-09-29 04:23:18
1
juli :
Mwenyezi Mungu 🙏 kama kuna mahali tuli kukosea 😭 tunaomba utusamehe 🙏🙏🙏😭😭😭😭😭😭
2026-09-29 11:35:49
1
Gilberth Massae :
pumzika bbbabaa kwaa amani
2026-09-29 18:07:00
0
Mustafa :
Mungu akulaze Mahali pema peponii
2026-09-29 17:39:12
0
thodoremanirambon :
@😊mugu tupatie raisi kama huyu🇧🇮🇧🇮🇧🇮
2026-09-29 17:10:18
0
hussen bakari :
na daima
2026-09-29 17:13:59
0
user8865625954047 :
Mmh
2026-09-29 16:28:02
0
Dee official :
pumzika kwa amani rais wangu nimekumiss sana kazi ya mungu haina makosa
2026-09-29 14:11:35
0
user13320293840127 :
mbumzika kwa amani kipenzi cha watu😭😭😭😭
2026-09-29 15:22:06
0
John Mihayo :
nikweli katika mwili amekufa,lakini bado anaishi naataendelea kuishi ndani ya mioyo yetu...tulimpenda na tutaendelea kumpenda...Nahukumu ya kifo itakuwa juu yawote walio usika na kifo chao..hatakama hawato lipa wao basi vizazi vyao vitalipa...Amen[Pray]
2026-09-29 15:06:55
0
fahdi :
kweli kabisa
2026-09-29 14:44:58
0
Emma mayala :
je mimi hamtanikumbuka ety
2026-09-29 18:21:57
0
jacksonmwasaka :
mwamba mmoja
2026-09-29 16:15:41
0
matrida :
😭😭😭 nalia nimefikilia mengi angekuwepo najua watu wasingeuwawa kikatiri
2026-09-29 11:05:09
0
To see more videos from user @kitego.kitegokite, please go to the Tikwm
homepage.