kutongoza rahisi kwa demu ambaye ujampenda kwa kweli ila ukimpenda demu huo ni mtihani km mitihani mengine
2026-09-29 17:29:08
78
nao :
naukicheka ndokabisa anaishia kusema ulikua unaelekea wap dawa yao nikucheka kabla hajaingia kwenye point😂😂😂😂 binafsi kunitongoza live hunipati nitakucheka hutaongea chochote
2026-09-29 05:59:39
52
👣PLUTO :
he is the best🥊
2026-09-29 17:02:34
1
Wiztrump-tz :
kwenye maisha yangu yote sijawah kutongoza live cm imenisaidia sana🤣
2026-09-30 05:27:13
17
Official D :
mi nikitongoza nikikataliwa hasira zangu naenda kumalizia kwenye Efootball division 😁😁😁
2026-09-29 12:57:02
29
𝐃𝐀 𝐘𝐔𝐔💞𝐌𝐔𝐍𝐃𝐇𝐈𝐑💍 :
afu kuna hii umpende mt na yy awe anakushobokea pia lkn hakutongozi 😂😅
2026-09-29 10:27:40
16
never give up :
et uncle usishindwe🤣🤣
2026-09-29 08:41:57
2
mysara :
haha namim nahitaji wakulike status tu😂😂😂
2026-09-29 08:35:31
21
mula kid_99 :
me najikutaga nnamadem tu sjui ata nliwatongozaje
2026-09-29 08:41:18
12
Department of memes😂😂 :
Huyo dem namjua vizuri sana mama yake na mama yangu wote ni wamama🥰
2026-09-29 15:46:50
10
THE GOAT 🐐 CR7 :
nimewaona 😂😂😂😂😂😂😂
2026-09-29 05:40:42
30
Hemed Kizaba :
Hii skie tu demu nilikuwa nampenda bas siku hyo wana wakaniitia oyaa nikaishia tu mambo baada ya hapo kimyaa lisaa lizima sijui hata niongee nini. 😂😂😂😂😂😂
2026-09-29 05:50:25
30
M.I.N.N.I.E🌸🍒 :
Mimi mda mwengine huwa naona kama stand comedy😂😂😂😂
2026-09-29 11:50:30
5
Jaslynn 🦋 :
Ila utandawazi jau sana jmn 😂😂🙌
2026-09-29 06:15:23
10
Jr.001👷♂️ :
kutongoza demu ni kipaji maniga zangu inataka moyo😂
2026-09-29 07:54:14
7
Priscy :
nashindwa kuwaelewa camera man umeamua uje uniabishe mtandaoni🥲
2026-09-29 05:47:09
10
077642555????🔞 :
nimewaonaa
2026-09-29 16:50:12
0
To see more videos from user @tojo.og, please go to the Tikwm
homepage.