@urafikibuckup: #TAASISIS #tanzaniantiktok🇹🇿 #kenyantiktok🇰🇪 #ugandatiktok🇺🇬

URAFIKI BUSES Tz
URAFIKI BUSES Tz
Open In TikTok:
Region: TZ
Tuesday 29 September 2026 03:26:25 GMT
95801
3202
147
135

Music

Download

Comments

wizwilleytz116
Wizwilley Tz :
Janjaro truck driver naskia yupo hukuu[Tears of joy][Tears of joy]
2026-09-29 07:00:18
0
annie62982
Annie🤍😍 :
Nani kamchokoza Boss tena
2026-09-29 08:17:42
49
prosper.nada
Prosper Nada :
afu mtu anakuambia nilianza na mtaj wa elfu 50
2026-09-29 05:24:29
98
zuuhdarling1
zuuh@darling💞 :
respect saan kwa heshima years abood 🔥
2026-09-29 10:54:13
0
rbmkasogela2
RBM Michael :
kikubwa nashukuru Kuna watu zaidi ya 1000 watapata ajira hapo .
2026-09-29 11:13:31
12
myemmy10
mima🔥 :
Nimeziona jana jaman watu wanaela mmmh [Teary eyed][Teary eyed]
2026-09-29 09:59:34
0
jescageorge152
officialjessy :
usiwe na haraka ya kujua ,Tukifika mbingun tutajua t ukweli😃
2026-09-29 10:11:34
7
user7471466854475
user miss s🌺🌹 :
hongera yake
2026-09-29 11:04:17
0
amaynah23
amaynah23 :
Hii kampuni sina hamu nayo imenipotezea mizigo mara mbili na hawajali hata naskia uchungu Mungu ndio atalipia ameen
2026-09-29 06:17:03
12
jafferdoc
JAFFERDOC :
HONGERA
2026-09-29 10:20:13
0
scolar934
Scolar :
tupate root ya rombo basi
2026-09-29 09:17:49
3
krisa601
Rama@ mmbag one :
boss tumuombe ampe chalamila 1 astusumbue na vibiashara vetu
2026-09-29 05:36:37
10
user9032330787478
juma issa :
sema hela sina sio utujumlishe na sisi wenye nazo
2026-09-29 11:15:46
0
nana.juice1
NANA juice :
mbinguni tunajua kila kitu😁😁
2026-09-29 08:21:48
1
sharonbaragwiza
sharony 😍😍 :
abood yetu watu wa tanga☺️☺️☺️
2026-09-29 09:04:28
4
user54637245975927
~mr Allen :
Zote ni hasira za point 10 au😅😅😂☺️
2026-09-29 05:49:25
8
hawaismail567
Hawa Ismail :
ila Abood tutawafuatilia😂
2026-09-29 09:27:40
0
getrudalenia
Her :
Root ya Dar tarime gari hakuna hata Wi-fi safari ndefu ivo🤣
2026-09-29 07:40:11
1
sumaswaggz_
sumaswaggz_ :
thamani ya kampuni ya katarama ni sawa bus zote za abood 😂😂😂 koh hamna kitu hapo
2026-09-29 06:10:57
0
user3chapotz
M,K,B, TZ :
kwani chalamila anasemaje😁😁😁😁
2026-09-29 04:55:04
1
nyakamata6
Nyakamata :
nmeyaona jana mpaka kajuuliza wenzetu wanatoa wapi hela maana me yakula tu inanipiga kona😂😂😂
2026-09-29 06:21:56
4
user61412126095018
🌝 moon :
mbon Kila siku wanaongeza tu magari af m sipati kazi😭🥹 au inakuwa na watu wake
2026-09-29 12:01:38
1
jafarhamisikijang
jafar hamisi kijangwa hamisi :
alafu yote yana pata abiria??
2026-09-29 05:26:28
3
suluha.swalehe
sweety su :
kuwa na mabus mengi sio issue kama service siku hizi ni mbaya jirekebisheni mtoe service nzuri kama mwanzo
2026-09-29 06:07:12
0
user9341444547908
y-huncho :
nlikuwa bandarin wiki jana abudi kashusha chuma kama 100 ivi nadhan ndo izo
2026-09-29 11:16:45
1
To see more videos from user @urafikibuckup, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About