@zerosix _og:wanatumia nguvu kubwa kuwatumia wasanii wenye ushawishi mkubwa wa singeli kuangamiza huu mziki huwenda wanajua au hawajui ila kumbukeni upandewapili show zimekufa sikuizi so lazima wawatoe kwanye mfumo mkija kushtuka mshauzika mziki wenu kwa mikono yenu wenyewe tudumishe sngeli tusiifanye kama bongofleva hata piana inafanana ila waliweka msimamo na ikapenye kimataifa tusikubali kawapa wapinzani nafasi yapili @MALUME👑 @Don breezy @Ma2p45 zingatien misingi acheni tamaa 🥰
2026-09-29 19:12:15
2
Fanny Sp :
doni bhn ustupige lini umenenep acha bas
2026-09-29 20:13:39
1
R.O.M.MY♈👑 :
wote wakali 🔥🔥🔥🔥✊🏻
2026-09-29 17:40:56
1
Von :
sio poah nawkubali sanaaa
2026-09-29 16:04:38
0
Salu mwamba :
Malume
2026-09-29 08:57:56
1
ummy120 :
Sema uy malume ana pepo yake binguni
2026-09-29 19:59:37
0
zerosix _og :
@zerosix _og:ntaendele kusema hii nimipango mikakati kuakikisha singeli inapotea sio kilajambo ni lakulisifia bila kufakali tunauuwa mziki wetu kwa mikono yetu na kuwapa wapinzani nafasi kwa marayapili
2026-09-29 19:12:21
1
ShakeelDrills :
Tuongee ukweli jamaa kabondaa kuliko mwenye nyimbo hili vocal,🤝 na live sauti iko smooth
2026-09-30 00:09:11
1
Iodine Andrew :
[Like][Like][Like]
2026-09-29 10:05:35
1
Lada Ulus :
😳😳😳
2026-09-29 12:26:12
1
KIBANGO :
😃😃😃😃
2026-09-29 14:06:33
1
Marie kalambi 🫶🫵 :
🥰🇨🇩
2026-09-30 09:02:37
0
Mr Smile 😍 :
😂😂😂
2026-09-30 12:45:43
1
Von :
👍👍
2026-09-29 16:04:06
0
evara299 :
🔥
2026-09-29 08:09:41
1
faidhat Masoudi :
🥰🥰🥰
2026-09-29 20:40:37
1
trisser_tz :
🔥🔥
2026-09-30 13:02:46
1
To see more videos from user @wingempiredigital, please go to the Tikwm
homepage.