@maalim.dunia:

maalim dunia
maalim dunia
Open In TikTok:
Region: TZ
Tuesday 29 September 2026 04:10:58 GMT
70937
3026
135
842

Music

Download

Comments

radamel.johnson
radamel johnson :
Kwanini mnaogopa kifo? vyovyote itakavyokuwa tutakufa tu sioni haja ya kuwa na hofu juu ya hilo...DUNIA HII NI YA MUNGU SI MALI YA MTU BINAFSI na suala la kifo ni la MUNGU mwenyewe acheni uoga.
2026-09-29 09:22:28
19
ipepeetube
ipepee tube :
nisawa huwezi laumu mtu kama ukifa na bilioni 6 kuna ubaya gani
2026-09-29 14:29:46
7
jassy83797
da jassy :
kila siraha ilitakayo inuka juu yangu haitafanikiwa katika jina la Yesu
2026-10-07 11:49:45
48
rehemak350
Depink_350 :
all in all sisi wote ni wa Mungu na kwake tutarejea
2026-10-13 22:33:30
7
emanuel.msofe
Emanuel Msofe :
hv mwaka 1999 tuliambiwa mwaka 2000 ndo kihama😂😂 halafu ikawaje??? acheni story bhna
2026-09-29 08:29:58
13
user8839214472774
user8839214472774 :
iyo ya zamani sana kaka
2026-09-29 08:19:28
1
widdy.taita
widdy taita🎤🎸🎶 :
mimi mnitoe simo kwenye orodha yenu
2026-10-13 19:16:09
0
liiy518
@🌸Hawaa🍎🥷🏻 :
Wote ni wake tuta rejea tu
2026-09-30 06:12:08
1
evenellon66gmail1
Eve :
Kwan dunia ni nyumba ya mtu?
2026-09-30 02:37:39
2
raisi.mango
Egonice power Raisi :
kaiyo wao wanapata faida gani apo
2026-10-07 06:17:32
0
msabila.martha
Msabila martha :
sasa sibola yesu aludi2
2026-09-30 00:49:38
1
user6298706939381
zahara :
Nitaathirika kisaikolojia huku TikTok mana mambo nimengi nimeiona kanada watu wanauwawa live wanabanikwa kama nyamachoma
2026-10-15 20:42:40
1
lightnesslameck2
lightnesslameck2 :
yesu arudi tuu
2026-09-29 15:52:06
0
stanleybigabe115
Who are you ? :
Silindwi na dawa yeyote ile ... Yesu ndiye mwokozi wangu.
2026-10-15 09:39:26
1
mosesnaange
Moses Naange nangalayo :
na mimi nakiri kwa jina laYesu mimi na familia yangu hatuta kufa bali tutaishi Amen
2026-10-13 18:44:02
1
trust.james22
Trust James :
hawawezi shindana na Mungu.
2026-09-30 04:57:58
3
yandila2022
yandila :
nilikua napenda Azamu juice zile za box, nikawa nikiimaliza kuinywa. nahisi kooni kama kuna gundi hivi. sahvi nishapata shida ya acid....kooni panauma .
2026-10-11 08:08:53
2
mfaume.lipova
Mfaume Lipova :
wanapanga mungu naeanapanga m bolawakupanga nimwenyezi mungu
2026-09-29 14:49:51
4
21shushuu
shushuu 21 :
subhanallah mungu atuhifadhi na udhalimu wao
2026-09-29 04:24:07
8
magdalenamaulilo
Magdalena maulilo :
hatutakufa Bali tutaishi ktk jina la yesu
2026-09-29 15:07:00
1
emmanuel.mwakibut
DOVAH💫 :
shule nilikua siogopi fimbo za wengi, sembuse vifo vya watu billion 6😂😂
2026-10-09 17:15:04
1
dotto6812
dotto :
jamani mungu atu tete africa nzima 🙏
2026-09-30 05:35:25
1
user6399950815175
Hery :
Jaman wanauwawatu huku Tanzania kuna sehemu HAta bado hawajazindua Kuhishi
2026-10-06 12:14:03
1
afsakimweri
Afsa Kimweri :
hawawezi kushindana na nature unaokufa ni mwili siyo roho
2026-09-30 10:37:08
1
user54160757951777
M kauthary :
Ndoo mungu anawaanzia wao
2026-09-29 11:30:57
1
To see more videos from user @maalim.dunia, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About