@daroe_media1: MKE MKUBWA HANA KINYONGO KAIKUBALI SUNNA YA UKE WENZA #tanzaniantiktok🇹🇿 #trend #fypシ゚viral #swahili #fyp

D A R O E media
D A R O E media
Open In TikTok:
Region: TZ
Tuesday 29 September 2026 04:10:54 GMT
78116
2681
456
515

Music

Download

Comments

fetty0267
chimamy love💖 :
Moyo uwo sina
2026-09-29 14:52:04
3
da245729
DA2 :
sina muda huo sina ata muda ata wakumsogerea
2026-09-29 11:45:49
57
zubeda589
ZUBEDA :
huyu mke mkubwa ni mm kabisa maan sinaga kinyongo mm🥰🥰🥰
2026-09-29 10:28:45
48
ukhutysaby
🎀 ukhutty saby 💦 :
Ni sunna lakin me moyo huo sina 🥺🥺mungu mwenyw anajua
2026-09-29 15:44:43
27
user7612246563755oneday
mysala💕🔐🩷 :
anàmwambiaa we njoo njooo ujioneee yaliyoko huku[Tears of joy][Tears of joy][Tears of joy]
2026-09-29 12:53:53
2
m3302526
m :
Mashaallk Mashaallk
2026-09-29 15:25:14
1
user8796530442023
safatu :
Eeeh mungu nipe uvumilivu😳😳😳
2026-09-30 05:13:35
1
shufaa.alfani
Shufaa Alfani :
wakwangu anataka kuniua
2026-09-29 09:20:30
22
mauwakibasila
Mauwa kibasila :
mmmhhhh me xikakii kbixa moyoo huu😁😁
2026-09-29 09:22:20
0
ruhiy07
preety_penguin :
Nimegundua nina roho mbaya 😁man swez na mungu anihifadh
2026-09-29 14:30:35
17
mwanaharusi.kijoj
Mwanaharusi Kijoji Mbwiti :
hongera yako mwaya
2026-09-29 12:17:38
0
mwanahawakassimu20
my mwana :
me siwezi jmn niombeeni duwa labda nitakuja kuwa na moyo huo
2026-09-29 09:07:55
21
mariamyusuph5190
Mariam Yusuph5190 :
Haya mkemwezaaa uko ukowapi tuje tuvae sale sale 😂
2026-09-29 12:39:58
5
amaynah23
amaynah23 :
Me na mke mwezangu hyo siku ameen inshaallah
2026-09-29 10:59:30
5
mihsar999
mihsar💫 :
mashaallah mashaallah 🥰 Allah awasimamie muishi miaka dahar yenye furaha amni n upendo
2026-09-29 08:28:45
17
sitymussa7
REY :
na mm ntafanya ivo inshallah kwa mdog angu tena ntamtafutia mwenyew mme wangu
2026-09-29 13:17:45
8
teeh_062
Teeh_💞💞💞 :
Mie moyo huo ninao lakin kulogana to 🙌🙌🙌 ndo kitu naogopaaa au kunilogea mme wangu bc 😳😳
2026-09-29 18:56:44
2
rahma.hassan353
Rahma Hassan :
hata me natamani hv😅🥰
2026-09-29 09:28:11
5
nazreen.majeed
Nazreen Majeed :
ukiona hivyo mume anamjali na kumthamini mke mkubwa ndio maana mke mkubwa kaweza kufanya hivyo
2026-09-29 12:23:12
6
zakhiarashid149
official mom muuh🥰💍 :
akili yangu inaniambia ni AI🤣
2026-09-29 14:17:35
1
sodium.square
sodium square 😍 :
hata cku moja
2026-09-29 15:21:12
1
user1418170444866
Layla omary :
weeeee yaan nikushangilie hv lbd sio mim🤣
2026-09-29 18:41:35
1
bint.ibrahim094
Bint Ibrahim :
njo uone huyu wangu 😂😂😂😂
2026-09-30 05:34:41
1
mirhein
Um Maysarath🌺 :
mim kumtunza naweza ikiwa hiyo pesa kanipa mume mwenyewe
2026-09-29 17:38:22
1
fau.quality.collection
fau quality collection :
naona raha
2026-09-29 15:34:21
1
To see more videos from user @daroe_media1, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About