Mbona wewe kama hari nilionayi Mimi lkn yaani nimetoka kulalalmika tu sasaiv nawasha data nakutana na ujumbe huu duuu we ninoma sana nimekukubari
2026-09-30 14:20:50
2
elly :
kabisaaa yani kuna mtu nilimkopesha mwez wa 6 mpaka lika ukimkumbusha anakuambia ngoja tuangalie mpka nimezila
2026-09-29 15:12:27
4
Lenatus Bahatikagoma :
na kumbuka mama aliniambia mwanangu usiipigie hesabu pesa iliyoko mkononin mwa mtu hatakama niyako na akanipa na mfano stojaribu fanya hicho kitu unaweza laza family njaa [Tears of joy][Tears of joy][Tears of joy][Tears of joy][Tears of joy][Tears of joy]
2026-09-30 11:49:58
4
Joseph Kapinga :
mh ni kweli kabisa umetufundisha kitu😁
2026-10-01 08:23:02
1
Alex jr :
uhakika mwamba
2026-10-01 08:55:01
1
BAHATI NDAJI :
uhakika nimwerrr
2026-09-30 17:40:48
1
Justin stamphord :
ipo hv ukimkopesha mtu hakikisha hiyo hela hauna hesab nayo🤣🤣