Mi ilinikuta nakula ugali na maziwa walahi sijawahi kutapika kiasi kile😁
2026-09-29 12:02:06
7
MOHAN :
Nilimwambia Ant Leah Unajua unanitesa Kila nikikuona najifanya niko serious kumbe moyo unacheza singeli 😅
Akanicheka akasema Basi njoo uniambie live
Nilipofika nikamwambia Ant Leah tofauti ya umri si tatizo kwangu tatizo ni jinsi unavyonifanya nikusahau kila nilichojiambia kuhusu kuwa mtakatifu 😂❤️Akanitazama kimya akasema Wewe mtoto una maneno sana
Nikajibu Maneno ndiyo nimekuja nayo mengine tutayaacha kwenye chemistry yetu
Akanicheka mpaka akashika simu yake Huyu mtoto leo amenichanganya😂❤️Apaunapo soma sms I nipo kitandani najiliazangu UTUPU 😂 nakesho naenda kununuliwa gari kwa raha zangu
2026-09-29 07:57:14
1
senior :
nikajua ni mimi tu😁😁😂
2026-09-29 07:28:01
2
ck_menalone😎🇹🇿&🇰🇪 :
nakumbuka iyo siku nika google na madhala ya kula ugali na maharage
2026-09-29 10:39:36
4
Thabit :
Nmecheka mpk nmekufa
2026-09-29 09:59:26
1
MAESTRO ❤️🧸🦋 :
Acha tyu [Tears of joy]
2026-09-29 06:53:52
1
C.M :
aiseee
2026-09-29 06:49:28
1
Cadabra :
dah ila salary sio poa nyie mnaosema kuajiriwa ni utumwa acha niwe slave kabsa😂
2026-09-29 11:30:39
1
J〇hn∀ndΣs✪👿 :
tupo wengi😂😂😂
2026-09-29 09:39:50
1
Abduly kidary :
apo kabla ya kula tu meseji hiyo kufungua tuu unakuta walete
2026-09-29 08:26:39
3
Hulu 💎 :
2026-09-29 06:44:09
1
ELLY jr 3426 :
haya maisha hayataki userious
2026-09-29 07:33:36
1
Yasini. Tabora🧢 :
huku wana ita SMS ya herufi 3
2026-09-29 10:08:37
1
MR.STAN✝️ :
😂😂
2026-09-29 10:34:36
0
ŠĤĂMŚ 🎤 :
umejaribu hii😂
2026-09-29 11:43:31
1
Vicent 214📌 :
😅😅😅 atar mamae 😂
2026-09-29 12:30:11
1
WILLIAMS :
2026-09-29 15:03:00
1
🅱🅰🅳🅰🅽 🅱🅾🆈👑 :
mi nilikuwa nimenunua maji ya jero kurudi ela ikaingia ndo nikagundua maji Huwa hayana ladha ni njaa tu
2026-09-29 15:40:46
0
Ctoshb_A_gradez :
Haha😂
2026-09-29 11:59:14
1
😁😁 :
😆😆mbegu za samaki
2026-09-29 06:45:01
3
To see more videos from user @__hussain9, please go to the Tikwm
homepage.