@phinah.cute2: #CapCut

NYIRA girl 🌻 ❤️#
NYIRA girl 🌻 ❤️#
Open In TikTok:
Region: TZ
Tuesday 29 September 2026 05:30:59 GMT
101367
5107
59
37

Music

Download

Comments

missrajah4
Miss rajah❤🥰 :
I love ue my momy[Heart eyes][Red heart][Red heart]
2026-09-29 14:04:19
2
maryam85564
maryam8 :
mama pekee ndo hawez kukubali😌😉 uanguke Ilove you my mom🥰 popote ulipo nakupenda sana🥰🥰🥰
2026-09-29 05:43:24
58
al_morata_tz
Al morata :
mom is the best one🥰🥰💝 I💝
2026-09-29 17:49:15
3
fayiegal02
@faydavy132 :
Mungu wangu nakuomba uzidi kunitunzia mama yangu♥️😭🙏🙏
2026-09-29 14:14:13
10
haylababy
Baby hayla🦋 :
uh mwak mam yng aliamua kwenda mbali sanaaa 😭😭😭😭😭🙏🏻
2026-09-29 17:32:34
7
mmaryj2
@Dativa#❤️‍🩹 :
Ndo maisha yetu watu wengi yalivo kama iyo gari ila tukipata support kama ivo tutainuka tena Mungu tusaidie 🙏
2026-09-29 14:04:11
8
user9476610761226
❣️ Raphael @💯 :
hongera naomba nitengenezee na mim bas
2026-09-29 09:04:10
5
user1263037049945
sheymeer sultan :
mtu pekee anaeweza kunipa furah ni mom namuomba mungu anilindie mama yangu 🙏🏻🙏🏻
2026-09-29 17:20:20
5
onlyme0058
onlyme❤️ :
🥹utaniliza maan iyo kwang ni kinyume chake 🥹mungu azid kunitia nguv ameeh 🙏nampenda mama ang
2026-09-29 10:50:27
6
cuppachino21
cuppachino21 :
I miss ma mom🫂❤️
2026-09-29 12:11:52
3
shadia8145
shdy🤫 :
niunyonge wa dunia kukosa baba na mama😭😭😭
2026-09-30 06:56:31
2
karim.mohammed010
Karim Mohammed :
bora nyie mama zenu wapo hai mshukuruni mungu sanaaa na mumfanyie mema sisi wengine mama zetu tulifawafukia tangu tupo darasa la pili......🥺🥺
2026-09-29 19:27:57
3
user4858117106562
Maysara25 :
kuto kumjua mama yangu sitamani ata kuja kua na mtoto kila rangi ya changamoto nimeiona nyie acha kabisa 😭😭 yaskie kwa mwenzio yaskukute
2026-09-29 18:41:43
2
chikuhamis415
miss dorra :
daaha mama mama nakupdnda saana sana saaana🥰
2026-09-29 12:38:36
5
shuum46
shuuu mzirai :
Mama angu Mungu akutunze naeza kosa ukanipa adi nyumba mama
2026-09-29 11:07:24
5
user3670511302635
mrs martime💞💞❣ :
kama mimi yan
2026-09-29 15:54:27
2
user8269995346183
Naseeb :
ndoto yangu iyo kuendesha gar😭😭😭
2026-09-29 14:21:35
2
sophie.julius6
Sophie Julius :
mungu nitunzie mama angu kipenz shida zangu huzibeba kama zake
2026-09-29 19:48:37
2
stellahmichael130
Mom chivya💞💞 :
hakikaaa
2026-09-29 13:57:34
3
onesmosalwagmail.com
Ommy ⌚🕰️ :
jina la wimbo
2026-09-29 14:29:06
2
mwasham.lenatus
Mwasham Lenatus :
nakupenda san mama yang
2026-09-29 12:40:34
3
nelyce_07
Nelcey💫 :
yaan upendo wa mama jmn daaah Mungu mtunze mama angu jmn[Pray][Pray]
2026-09-29 10:50:25
3
love.d2421
love d 💖 :
mungu mpe mama yangu maisha marefu maana akiwa hayupo sijui nitaishije maana mungu wakwanza mama wa pili hawa huwa wananipa nguvu ya kutochoko kamwe
2026-09-30 05:21:58
1
user4707675457267
Geniffer✨ :
Kuna mda natamani mama angu aje hata kwenye ndoto nimwambie niliyo nayo moyoni 😢
2026-09-30 07:50:34
1
neyleemapesa
Neylee Mapesa :
Mimi wangu aliamua kuniacha😭
2026-09-29 21:34:14
1
To see more videos from user @phinah.cute2, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About