@magufuli.daima: Swala la machinga kuondolewa balabalani na mjini bila mpango mkakati mzuri wa kujua wanapelekwa wapi limewahi kumuumiza magufuli #magufulikitiktok #magufulijembe #magufuli
daaa hakuna kitu kinaniuma kama nikikumbuka nimechukua mkopo siku 3 kabla sijavunjiwa meza adi naisi kudata
2026-09-29 08:14:06
64
wizy :
Kwan huyo anaye itikia ni nan
2026-09-29 19:47:59
23
side bale :
𝚖𝚊𝚒𝚜𝚑𝚊 𝚖𝚊𝚛𝚎𝚏𝚞 𝚔𝚊𝚖𝚊𝚗𝚍𝚊
2026-09-29 07:07:06
30
MGAIGAI OG..🔞 :
yani mpak machozi yananitoka wanangu
2026-09-29 13:16:05
11
khalid fund :
anavyoitikia sasa na anayoyafanya sasa ni kilio tyuuu🥰🥰🥰
2026-09-29 11:49:10
12
Hansein X 💫 :
Marehem Magu Wallah Hata Kama Ulikuw Unamadhambi Bc Kwa Wananchi Wanavyokukumbuka Hv Naamin Mung Anafut Zamb Zak Sy Sas Serikal Inakoendea Daah Inajiamulia Sana
2026-09-29 17:55:02
12
Sport center :
Kizuri akidum kweli ❤️
2026-09-29 15:19:46
13
Angely🥰 cute :
Sawa mliongea lkn saiv anaharibu anavuruga na kuumiza tenh😭😭
2026-09-29 18:12:01
7
☯︎𝐀𝐛𝐝𝐲☯︎🎮🥰 :
Tutakukumbuka sana Kamanda wetu 🫡🔥🔥
2026-09-29 12:30:24
13
de cruz :
my president forever 😢😭...siku nilipo sikia haupo tena nililia kwenye mwendokasi...🥺😖 sijawah kulia kisa siasa ila Magufuli ulinifanya niipende siasa na kufatilia...salute 🫡🫡🫡🫡🫡😖😣
2026-09-29 12:59:42
9
Athuman Chuji :
pumzika kwa amani baba
2026-09-29 08:29:01
5
ASLAN TASH :
pumzika kwa aman baba[Heartwarming]
2026-09-29 08:41:59
5
Ibrahim Kasindi :
Maisha marefu kamanda
2026-09-29 06:04:43
10
Lubanga the great :
harafu leo wanafukuzwa
2026-09-29 12:26:47
3
Raja Tz :
mola amlaze pema baba yetu
2026-09-29 14:09:20
2
Andrew Kan :
pumzika Daima JpM ❤️🙏
2026-09-29 12:19:44
2
=D..L..M..= :
mungu ebu mrudishe
baba yetu tunakuomba
2026-09-29 16:42:37
1
Shomvi Manase :
halisema tutamkumbuka
2026-09-29 13:29:14
1
Bion _demo :
meza yangu nimetengeneza 60 nzma imevunjwa
2026-09-29 21:31:44
0
khåñ_✨✨ :
namuona namuona mjumbe ndiyo apo 😂😂🙌🙌🙌
2026-09-29 11:57:19
1
baraka :
pumzika kwa Amani jpm
2026-09-29 16:40:56
1
rama b20 :
next 2
2026-09-29 08:48:37
2
To see more videos from user @magufuli.daima, please go to the Tikwm
homepage.