@licado.page: Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Tanga (Tanga UWASA) imeibuka mshindi wa kwanza katika kipengele cha Shirika la Umma la Kibiashara lililofanya vizuri zaidi katika Menejimenti ya Rasilimali-Fedha, kupunguza matumizi na kuongeza ufanisi katika urejeshaji wa mtaji. Tuzo hiyo imetolewa jana katika C-CEOs Forum 2026, iliyofanyika katika Ukumbi wa Arusha International Conference Centre (AICC), Arusha. Makamu wa Rais, Mhe. Deo Ndejembi, ameipongeza Tanga UWASA kwa kutambuliwa kwa utendaji wake, huku akisisitiza umuhimu wa Taasisi na Mashirika ya Umma kuimarisha usimamizi wa rasilimali na kuongeza ufanisi katika utoaji wa huduma kwa wananchi.
Licado Page
Region: TZ
Tuesday 29 September 2026 06:04:04 GMT
Music
Download
Comments
There are no more comments for this video.
To see more videos from user @licado.page, please go to the Tikwm
homepage.