@kelvindemangi:

Kelvin de mangi
Kelvin de mangi
Open In TikTok:
Region: TZ
Tuesday 29 September 2026 06:06:04 GMT
183142
4995
145
159

Music

Download

Comments

abduly127
Abduly :
Ila boda dah anataka kufanyaje 😂
2026-09-29 07:51:46
214
user9274631504260
st£re0 :
sas uyo boda anatk akafany nn uko
2026-09-29 07:57:45
60
ifacollection23
ifacolletion :
hivi hawa boda boda wapo na matatizo gani jamni?😳😳😳😳
2026-09-30 14:13:46
55
shedracksefania
Dady :
apo boda anawaza apite
2026-09-30 05:10:56
4
bintimwaipopo
bintimwaipopo :
boda yamani asa uko anapita wapi?
2026-09-29 11:56:07
41
l.i.g.o.b.e.r.t
ligobert :
asa uyo boda alikuwa anataka aende wapi 😂😂
2026-09-29 21:43:23
9
ustadhwatanzania
USTADHI WA TANZANIA :
hawa dungu zangu kwa haraka[Tears of joy]
2026-09-29 08:51:51
9
09eshay
Aisha💫🦋 :
Hivi boda boda wanashida gan jamani..Ile ajali ya juzi matitu c alipita huu huu upande😒
2026-09-30 07:55:16
18
user4949435284368
supar women :
wp hyo natak mkaa
2026-09-30 16:13:43
2
kakawataifa
kakawataifa💔 :
Hii kweli Abnormal road
2026-09-29 08:55:22
5
kheiryblossom
kheiry blossom :
ila boda boda
2026-09-29 08:58:07
5
ester.bora1
Essiebora 😍 :
Boda yupo sahihi kaangalia indicator
2026-09-29 10:20:14
7
jayh765
Jayh💗 :
ila boda boda[Tears of joy]
2026-09-29 18:09:09
6
user2610227781745
VICHEKO 2 🤣😂😆 :
mambo vip broo
2026-10-01 16:14:17
2
mr_safari_mpori_pori
Mr SaFaRi 🇹🇿 :
ila boda
2026-09-30 07:36:48
2
scania.kng
king of the scania.🐇 :
umetisha kak
2026-09-29 19:40:11
0
usercatalinamasozy
Catherine Lucas :
ila boda sasa alitaka kupita wap
2026-09-30 10:45:14
2
chichi_tz
Chichi :
ila boda
2026-09-30 13:21:20
1
sjwolskihsbis
cee_de_cr@zy🚭⚠️ :
Yaani kwa hizo coment zenu zime nifanya nikacheka sana mpaka nika dondosha iphone 18 yangu ya kijani kwenye anaconda yangu niliyo nunua japani ikiwa 0.km nilivyo enda vocation kwa hela yangu mwenyew bila msaada wa mtu yoyote na tena nili enda kwa private Jet niliyo lipia kiasi cha 600ML na nili ikodi kwa mwezi mmoja na nili lipa 600ML cash bila kutanguliza advance.🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
2026-09-29 09:13:34
4
young.rob001
⏤͟͟͞͞★Bommy_knocker 👑 :
kwahiyo umekuja kwenye comment kuangalia tunamsemaje boda 😁😁
2026-09-29 15:56:45
4
stephanogerald323
kisang'una 💥 :
kama unaharaka na unajiamini we nidereva pita kulia ila boda kazi sana
2026-09-29 09:08:20
3
sani_hash
lilsani :
Ila boda boda
2026-09-29 09:03:15
3
blacks3la45
Gumzo_4👊 :
Daah kwel kwenye maisha kna wa2 wanataka ufeli ndy wafurahi
2026-09-29 17:10:48
2
user2614117580165
msomali :
nimechoka kuwatetea boda sasa
2026-09-29 09:17:27
2
fau1.0
Fau business morogoro :
Iv uyu boda yupo okeee
2026-09-29 13:39:59
1
To see more videos from user @kelvindemangi, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About