kwani kweli kuna mgomo wa mabasi kweli au utani maana mm nataka nisafiri
2026-09-29 08:34:37
0
rich lady :
tatizo ni hii tarehe
2026-09-29 08:17:38
1
YATIMA ADEKI :
msiwe wambea watu wako road
2026-09-29 07:38:29
1
Mumy G :
Barabara ni nyeupe kabisa ila madereva kweli mnataka haki zenu basi mzingatie sheria za usalama barabarani maana ugomvi mkubwa ni kuvunja sheria kama utafuata utaratibu kwanini ukatwe points Mungu awasaidie mfikie muafaka wanao athirika ni abiria
2026-09-29 08:14:31
1
To see more videos from user @aboodbustz6, please go to the Tikwm
homepage.