gorgeous
may GOD keep you two na wengine pia as a testimony that girls' friendships can exist😊😊napenda mnavyopendana🥰🥰
2026-09-29 07:04:35
2
ZAMRAH TAILORING ✂️🪡✂️🪡 :
anayehisi raha kama mim aje hapa🥰🥰
2026-09-29 06:20:29
222
sabreena🧸__ :
kuna mim nliejifanyia jana birthday pekeangu🥺🥺
2026-09-29 07:29:19
17
Hamissa Ally37 :
mumeniliza Hadi mim yani😭😭
2026-09-29 06:19:27
59
️Sashy store✨ :
Just strangers being wholesome and me crying in the corner🥰 it’s a platonic love indeeeeeed
2026-09-29 07:46:56
1
fettyommy :
kila nikipata rafiki nikimpa siri zangu tukikwazana kidg anazitoa😭😭sijui shida nini hkymungu
2026-09-29 06:54:01
22
Salma chama💞 :
rafiki yangu yupo busy na BFF zake nmeshajitenga🧚
2026-09-29 07:36:36
25
e.v.e_events :
Natafuta Rafiki jamani 🤭🤭
2026-09-29 06:18:50
45
Unique babe :
sasa me nalia nn jmn
2026-09-29 06:45:17
32
FRESH BOY :
hapo ndugu zangu kuna kitu cha kujifunza ni kwamba
TUMIA MAISHA YAKO NA YULE ANAYE KUFURAHISHA NA SIYO YULE UNAYE LAZIMIKA KUMVUTIA.
2026-09-29 07:00:39
39
Officiallynisha🌹🔥🥰 :
Uyu ndo rafik ss sio rafik ana ma bff 50
2026-09-29 06:29:57
313
Allen... :
oh my gwade imeniliza 🥺🥺🥺
2026-09-29 06:30:12
1
emmymdanku :
I love you guys❤️wish to get such a friend 🤦🏽but hawapoooooo
2026-09-29 06:37:58
1
NDOVU MKUBWA 🐘🤗 :
soo emotional
2026-09-29 06:36:33
1
Lady Dee🦋💧💦 :
Eeeeh Mungu naomba rafiki kam machanj na asma a🙏🏼😞🙏🏼🙏🏼
2026-09-29 06:20:38
39
~ ma femme ☦️❤️ :
Mungu na omba unipe rafiki kama uyu 🙏🥹
2026-09-29 06:35:56
17
mwantylv1 :
Jamani na mm natafuta rafiki tuwe km mama chanja na asma😢
2026-09-29 06:29:01
32
shuku :
ooooh my gwaaad
2026-09-29 06:39:50
0
Mimmer _Dimpy💫🥰 :
me nlkuwa nae lkn Mungu amempenda 😭😭😭😭sijawai pata kama uyo🥺🥺
2026-09-29 06:53:50
9
denrene :
kwani mama chanja yeye hanaga birthday nauliza TU jamn
2026-09-29 06:30:19
52
mimilicious🥀🦐 :
Mungu nipe kama uyu 🥺
2026-09-29 06:22:31
13
J🫧🐝😜 :
Nacho amini urafiki wakweri upo ira kwangu mimi naamini sikuandikiwaga kiufupi sina nyota ya urafiki maaan kira napo jaribu rinani kuta jambo mwanzon irikuwa inani umiza sana kwanini mimi hiv ira toka nimejuwa kuwa sina nyota ya urafiki haini sumbuw kabisa
2026-09-29 06:52:58
13
sheilla💯✔️ :
tulio angusha machozi
2026-09-29 06:43:43
5
bigdady 🙃 :
ouh my gwaaad nimependa 🤟🏿🤣
2026-09-29 07:06:01
6
Saida tuesday :
natamani na mm nipate rfk mwenye kujali kama hawa
2026-09-29 06:24:09
5
To see more videos from user @mama___chanja, please go to the Tikwm
homepage.