@blessedwithwealthfavor:

ms_verah888🔮🧿
ms_verah888🔮🧿
Open In TikTok:
Region: TZ
Tuesday 29 September 2026 06:18:07 GMT
88279
6231
185
551

Music

Download

Comments

kuipataladhapandadaraja
Hope :
mimi mpaka najiogopa kwa nilivyobadilika
2026-09-30 05:12:55
80
ariyana2456
Ariyana🇹🇿 :
am one amongst who they hurt me now am in my peace 🥰😂
2026-09-30 11:41:54
1
baraka.shirima88
FALME ZA KICHAGA :
Naona kwenye comment section kila mtu ni mwema😀😀
2026-09-30 06:58:38
36
humbaro02
Fredrick Humbaro :
Kwenye comment section kila mtu ni mwema 🤣
2026-09-30 06:35:32
22
kheir1207
📞 my name :
it's me
2026-09-30 12:59:22
0
user9807931352580
Anord Chaless :
sahii[Pray][Pray][Pray][Pray]
2026-09-30 13:21:53
0
robytz831
RobyTz🇹🇿 :
watu wema ni Sisi tuliozaliwa Mwezi Wa 5 team Taurus ♉🐂 🙌
2026-09-30 09:42:09
14
random_pro.19
ᴀᴘᴘʀᴇɴᴛɪᴄᴇ_x_𓃵␌ :
Bad guy hapa tena niko verified 🫩
2026-09-30 13:18:00
0
budidi345
@diana345 :
mimi washanibadilisha kabsa hadi najishangaa nimekuwa na moyo mgum sin
2026-09-29 19:11:28
20
clesensiabamwanga
me :
mi ndo huyo mtu mwema
2026-09-29 21:14:24
7
alexdavi202
Alexander :
nilikua hivyo, huruma sio malezi.
2026-09-30 11:19:41
3
waziribinwazir
Waziri Bin Wazir :
true indeed true Soo true very true kabixaa
2026-09-30 08:15:21
2
omari.kasanga
Omari Kasanga :
uko sahihi ahsante sana mungu akubariki
2026-09-30 06:31:56
8
benonthebrave
Benon the brave 🇰🇪 :
Mimi Ni mmoja wao I say
2026-09-30 06:37:14
6
mkono.wa.mwanaume
Mkono wa Mwanaume :
kama hujaolewa nmekupenda
2026-09-30 00:18:18
5
fainess093
fainess🦋🌺 :
Big fact
2026-09-29 17:01:05
0
user6738358554900
Abdillah hussein :
upewe ulinzi dada ume sema kwelii
2026-09-30 01:49:27
4
princessemathe
user8183152327958 :
Iyii niukweli kabisa
2026-09-30 06:58:43
2
officialvaireth
officialvaireth :
sanaaaaa dada moyo ukichoka unachoka kweli
2026-09-30 07:33:46
2
tangomike0
That's Abraham's :
ndio mm kabisaaaa
2026-09-30 02:41:53
3
josephat.mwalo
Josephat Mwalo :
yasha nikuta dada angu wambiee
2026-09-30 05:55:20
4
gloryr64
user6774360386178 :
niliambiwa sahivi umebadilika ,nikasema Asante yesu lilikuwa lengo langu, maana nilikuwa mwema hukusema lkn sas naambiwa naongeza juhudi ya kunilinganisha mwanzo na sasa
2026-09-30 06:52:28
4
atisia43
msafwa og :
mim had naogopa namna nlivombadilikia mtu flan,hata nikute anaenda na mafuriko,ntamuacha aende tu mungu anisamehe
2026-09-30 11:18:06
1
christina.yessa
Christina Yessa :
nikweri kabisa ni sisi turiyo zariwe mwenzi wasaba
2026-09-30 13:03:09
1
nana.craig2tiktok.comna0
Nana Craig ❤️🏹 :
ila watu ikitokea mada ya group O utasikoa kila mtu ni O akitokea chosen one kila mtu ni chosen one humu Tena kila mtu mwema 😁😁😂😂😂 yaani TikTok unavyokuja ndio tunavyo kupokea 😂😂😂😂
2026-09-30 09:29:01
1
To see more videos from user @blessedwithwealthfavor, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About