@jamiivoice_: HABARI: Wananchi na wasafiri jijini Dodoma wamekumbwa na adha ya usafiri baada ya madereva wa mabasi yaendayo mikoani kugoma kutoa huduma leo, Septemba 29, 2026, wakidai Serikali haijasikiliza kero wanazokutana nazo katika utekelezaji wa majukumu yao. Madereva hao wamesema miongoni mwa changamoto zinazowakabili ni mfumo wa kukatwa pointi kwenye leseni za udereva, ambao wamedai hauko rafiki na umekuwa ukiwaathiri katika kazi zao. Aidha, wamedai kuwa wanakumbana na usumbufu kutoka kwa baadhi ya askari wa usalama barabarani wakati wakitekeleza majukumu yao. Madereva hao pia wamelalamikia mazingira ya ajira, wakidai kuwa wanapodai maslahi yao kwa waajiri, wakati mwingine huishia kuondolewa kazini. Kutokana na mgomo huo, wasafiri waliokuwa wakitarajia kusafiri kutoka Dodoma kwenda mikoa mbalimbali wamelazimika kukabiliwa na usumbufu wa usafiri.
Jamii Voice
Region: TZ
Tuesday 29 September 2026 06:46:31 GMT
Music
Download
Comments
mstaafu :
traffic wamekua weng barabaran kuliko mabasi
2026-09-29 08:03:50
77
abui rashid :
Madera wa MALORI mpo wapi
2026-09-29 07:36:20
126
Hemed Hemedi :
traffic wanatuonea sana watolewe barbarn
2026-09-29 07:13:11
68
CHEF SALIM BUNGULE :
Tunaenda na 29 kila mwezi Kuna jambo letu 😁
2026-09-29 07:58:04
98
Revocatus Mrema :
wana jesh wakaee rod
2026-09-29 10:11:30
0
fefed :
najua haiwahusu lakini leo ni happy birthday yangu
2026-09-29 08:41:21
39
JAY CHICCO :
mbona na wao hawakatwi point kwa kuchukua rushwa barabarani
2026-09-29 07:44:22
41
DALLAS :
Leo ganji hawapati traffic wana nzara kinoma
2026-09-29 07:45:50
21
Sophie Aura✨ :
Matrafik wana njaa sana
2026-09-29 08:28:49
11
Abdul maguo :
Natafuta comment za Traffic siziini
2026-09-29 09:15:37
0
Flora john 🍎🍎🍎 :
ata ivyo Leo ni happy birthday ya October 29 hiyo ni Kila mwezi tuna Fanya [Tears of joy][Tears of joy][Tears of joy]
2026-09-29 14:43:59
0
SAMCOM & SECURITY SYSTEM :
fuateni Sheria madereva Wana uzembe mkubwa sana barabarani
2026-09-29 07:59:15
14
Aden Vales 🌊 :
Ila September 29😂😂🤣🤣🤣🙌🙌🙌🙌
2026-09-29 15:10:04
0
Charles Lukwalo :
nalifatilia
2026-09-29 11:59:46
0
Adeecom :
wafikishe abiria waliosafarini toka jana
2026-09-29 07:34:08
10
Imtiyaz Mohanmed :
Hii ni kampeni ya nguvu 1 kuenda sgr
2026-09-29 07:18:32
7
Ndefundubha :
Huu mfumo unatengeneza mazingira ya Rushwa kwa Matraffic.Nashauri barabarani kuwekwe camera dereva akifanya kosa utozwe faini kama ilivyo siku zote.
2026-09-29 08:08:15
10
Gianna@Giana :
Mungu saidia nchu yetu maana wakigoka wa maroli tutakufa njaa
2026-09-29 07:56:15
5
pesa boy mzd one :
oya akuna kulegeza
2026-09-29 07:42:16
5
Abelly,,. :
mam ingiza mwendo kass mikoani 😅😁
2026-09-29 07:14:49
8
Jimmy Nesto Wa Stanlaus :
mbona mnawazungumzia wa mabasi pekee kwan umeona kuna roli barabaran achen kututenganisha n mgomo wa madeleva ote
2026-09-29 07:06:06
6
Dude khamisi Dude :
Utawala wa dhuluma huenda kidhuluma hawezi kubuni haki watabuni dhuluma tu
2026-09-29 07:38:40
5
xaverympambalyoto :
afu mjue hisio 29 Octoba nimbaya sana ndio kumeaza bado Octoba
2026-09-29 07:49:12
5
Godfre :
bora ili wapate kusikilizwa
2026-09-29 07:50:23
1
HANS SEVEN :
kura mlipiga wenyewe lkn msilisahau hilo
2026-09-29 07:37:25
2
To see more videos from user @jamiivoice_, please go to the Tikwm
homepage.