@coachirene03: Tulitoka mbali, tukakutana chuoni, tukajenga ndoto pamoja, na mwaka 2022 tukahitimu. Leo ni 2026 — miaka michache tu imepita, lakini tumepiga hatua kubwa pamoja kuliko tulivyowahi kufikiria. “Tazama, jinsi ilivyo vema, na kupendeza, ndugu wakae pamoja kwa umoja!” — Zaburi 133:1 Kutoka kutafuta maisha, hadi kujenga maisha tuliyokuwa tunaota. Si bahati. Ni Mungu, juhudi, subira na kushikamana. Tulianza kama wanafunzi. Leo tunasimama kama ushahidi kwamba watu sahihi, umoja na Mungu vinaweza kubadilisha safari ya maisha. 2022 → 2026. Tumetoka mbali, na bado tunaenda mbali zaidi. 2030 hitoria itaandikwa
Coachirene03
Region: TZ
Tuesday 29 September 2026 06:48:02 GMT
Music
Download
Comments
There are no more comments for this video.
To see more videos from user @coachirene03, please go to the Tikwm
homepage.