@kadingi_media: safina ya nuhu yaonekana baada ya miaka elfutano 🤣🤣🤣

kadingi media
kadingi media
Open In TikTok:
Region: TZ
Tuesday 29 September 2026 06:49:43 GMT
347039
16014
1254
1333

Music

Download

Comments

najim.sharif3
NAJIM SHARIF :
Ila hamujaona Jahazi la mzee yusuf
2026-09-30 13:32:29
645
magie2240
ItsGrethy ˙⋆✮ :
Kwann itangazwe elnino na safina ionekane🥺🥺
2026-10-02 05:52:26
392
shunu372
shunu🥰wake🥰 :
ila watu[Snicker][Tears of joy][Tears of joy][Tears of joy]
2026-10-02 15:45:29
0
derascco
mwanamke na nusu :
wap jmn tupean conection
2026-10-03 12:12:56
0
salnassxmonterle
Salnassx monterle :
location jmn mm naamini
2026-10-03 13:34:41
0
its.brand161
it's brand🦋❤️🍭 :
kwahy hii ndo tutapanda wakati wa elimino
2026-10-01 22:55:04
88
user7618757248106
uchwara tv :
jamani Kuna mbao za kudumu miaka 5k????
2026-09-30 14:14:46
213
naingwa4
naingwa :
And the ark rested in the seventh month, on the seventeenth day of the month, upon the mountains of Ararat🤔
2026-10-02 17:16:35
0
mulemule646
Mulemule :
mbona hiii ni mwaka wa 2026 hi elfu5 imetokea wa
2026-09-30 12:32:59
124
deelightful.gifts
Dee'lightful Gifts & Events :
So it really happened and someone is saying there is no GOD…. Nimekaa paleee. I love you JESUS 🙏
2026-10-01 17:11:36
0
dizzoautoparts
Dizzo auto parts serves :
muda wetu nasisi umefika wakwend kujibu tumefanya nin Dunia Allah atupe mwisho mwema na njiaa ilionyooka amini 🤲🏿
2026-10-02 07:51:56
70
mkoko764
MKOKO the LONELY🤫🤫🧸🧸🤟🤘 :
nynyi mlijuaje kama ni ya nuhu
2026-10-01 05:49:24
40
bintchupi
pipi,chup jumla💸 :
wengine watasema AI hii ni seriously issue
2026-10-02 06:07:18
1
officialyjoe
Joenathan🔹️ :
ama yaweza kutumika katika el-nino[Tears of joy]
2026-10-01 17:45:16
14
denno7608
Denno :
Kama unakubali , yesu ndiye njia ya kweli kutufikisha mbinguni . like hapaa
2026-10-02 07:23:54
150
2xp182
2+²xp :
asa elfu tano kibip na akat saiv tupo 2000😳
2026-10-01 05:06:35
8
_djhancetz
DJ HANCE🎧 :
Ila si tupo mwaka 2026
2026-09-30 14:50:43
8
hafsa.sadiki8
hafsa khan :
atimae tumepata usafir wa elnino tutapandia wap ss
2026-10-02 14:04:22
6
mr.kalinga335
MR.Kalinga :
Jamani aminini kwamba mungu wetu ni wakwerii jamanii msitende maovu siku za mwisho zimekalibia
2026-10-01 09:21:51
9
khalidmapazia6025
Sultan_curtain_Zanzibar 1 :
(Subhanallah) Qur an haikuacha kitu na vyote vimetajwa itakuja kuonekana baada miaka alfu tano ushahidi wa aya Qur an
2026-10-02 20:56:17
8
filbertartist
Filbert artist🇹🇿🇰🇪🇺🇬 :
hiyo tutatumia kwa ajili ya MVUA za ELININO wataingia watu walioko single tu
2026-10-02 09:58:46
6
faraja.sarakikya23
FARAJA🌹🔐 :
sasa mbona huu ni mwaka wa 2000 hiyo 5000 imetoka wapi🤦‍♀️🤦‍♀️
2026-10-02 16:31:37
9
gdbway6gmail.com
[email protected] :
awa watu wame Sema Kuna El mino then Wana onesha Safina ya nuhu iz siasa kabsa. ndo Ije kuoneka wakt wa El mino
2026-09-30 10:22:14
16
saadillah6
saadillah :
nimeamini kwenye dunia hakuna kilichobadilika ,niwatu tu ndo tumeongezeka
2026-09-30 12:56:34
5
www.johanvia.co.tz
Johanvia_Ambassador 🌀 :
ndio kwanza tu kwenye 2000 Sasa hiyo 5000 vip
2026-10-01 13:29:34
18
To see more videos from user @kadingi_media, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About