@jambotv_: VIDEO: Leo Septemba 29, 2026 katika kesi ya uhaini inayomkabili Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Tundu Lissu wanaanza kufanya uwasilishaji wa hoja za mwisho (Final Submission) ambazo zitakuwa zimelenga kuithibitishia Mahakama kwamba Tundu Lissu alifanya kosa la uhaini.
Mwacheni tuu huyu Baba kwani yeye ni mpango wa Mungu'mimi nanawa Mikono yangu huyu lisu hana kesi ya kifo Namwachia Mungu ashuhulike nae ktk ukombozi wake
2026-09-29 08:19:15
0
To see more videos from user @jambotv_, please go to the Tikwm
homepage.