sasa ndio wajue madereva akina nani nawapo kwa ajiligani hakuna dunia bila dereva watanzania viongozi msituwekee vikwazo kandamizi mbaiyona ile familia duni pale wana dereva wanamtegemea toeni vikwazo tengenezeni miundombinu mizuli
2026-11-25 12:07:25
0
user5780202808795 :
Kiongozi yule anaye ijua kazi hiyo ana jua bei ya nyanya congo bei ya sukari congo bei ya unga congo.Kiongozi anaye jua Dereva anafanyiwa nini akia nchi za wenyewe na kuweza kujua ataczifikishaje kero hizo mbele ya meza ya Wakuu..Dereva analipwaje,Dereva analindwa vipi
2026-11-24 06:45:52
0
majaliwa maja :
kabisa
2026-09-29 10:35:34
1
salum ndessa pesa :
sawa kabisa
2026-11-25 05:37:10
0
chegele obhanhu :
ukiona hili bango kunajambo linakuja Asante sana bhanyongiiiii🤝🤝🤝🤝🤝🤝unganeni hili nalo kiishe
2026-11-25 09:25:38
0
user8484jerryz :
HUO NDO UKWELI KABISAAAAA
2026-11-09 06:16:25
0
Better Building Tomorrow :
Ni sahihi, jamani ndugu zangu nauliza ni chama gani bora zaidi cha madereva malori natamani kujiunga na chama serious'
2026-11-24 06:05:17
0
Salim Athuman :
safi
2026-11-14 11:07:30
0
Junayna Cole :
🙏🙏🙏🙏nzuri
2026-09-29 10:38:53
0
my name :
kweli ata tenk fungurume awaijuia
2026-09-29 08:45:49
0
Adamu Mashaka :
nomasn
2026-09-29 09:27:17
0
wavuo :
kabisa yan sjui wanatuchukuliaje yan wanatuona kama wadudu
2026-11-24 18:54:18
0
livinus ludovick :
nikwer tunaumia sana amujui wala mtakikujuwa kwasababu mnapita barabara nzuri bovu hampiti viogozi wa ngazi za juu mnakaguwa kwa ndege.tedeni haki katka nchi yangu msiige sheria ya jirani tegenezi barabara yenye kiwango siyo viraka au adisi ukinichaguwa 🧐😏
2026-11-01 17:11:09
0
Ntanguye machela :
🤣🤣🤣🤣🤣
2026-11-24 19:49:50
0
To see more videos from user @kikom2poli4, please go to the Tikwm
homepage.