@tanga.bus:

TANGA BUS
TANGA BUS
Open In TikTok:
Region: TZ
Tuesday 29 September 2026 07:38:53 GMT
26953
1334
55
29

Music

Download

Comments

user259393207295
user259393207295 :
kwahy tanga wao wana cost2 mbn sion hata yutom
2026-09-29 11:29:35
0
amina.hamisi074
Amina Hamisi :
vizur san
2026-09-29 10:36:44
0
anwaryy6
Anwaryy :
hii October 29 ya motoo
2026-09-29 10:55:10
0
naaazamaradi
naaaa :
mbn magari yanatok kila siku au mm nd sielew
2026-09-29 10:32:58
5
benedictfesto228
👇smax Tz.... :
Leo hyi
2026-09-29 11:42:31
0
twenty.six.tz3
💪 :
ila watanzania tuna shida sana watu hawatak kutoka majumban mwao na kuyafata mabus stendi kuu sas hyo stendi ilijengwa kwasabab gan na vp gharama zilizotumika kujenga hyo stendi zitarudi vp?? ebu tuache uzaman maisha yanabadilika
2026-09-29 09:15:17
2
masrabdallah90
masrTZ :
haki itendke
2026-09-29 08:34:33
1
hajrajumaa4
hajra mbuguni :
malimao yangu yatakuja na nini jamani
2026-09-29 10:52:49
3
grace.eustice
Tiffah stylish :
safi
2026-09-29 10:44:13
1
user26974624827031
Ech special :
kweli noma san
2026-09-29 08:06:11
2
masaiboy27
CHEF SALIM BUNGULE :
Kila mwezi 29 tunajambo letu mpka watubu😁
2026-09-29 09:07:50
1
kazombiimshua686
kazombii mshua :
ndio hatuji huko sasa
2026-09-29 09:37:04
1
samweljoseph446
samwel joseph :
Bora tu mgome wame zidi sana Kila kukicha Taifa ni vurugu vurugu tu msimamo zabiti hakuna Kila kiongozi anaongeya anavyo taka bana gomeni
2026-09-29 09:23:50
0
sabuni.omary0
omary bin sabuni :
safi sana mpka kieleweke
2026-09-29 08:47:34
1
zaynoudar1
zaynoudar❤️ :
leo ndo leo
2026-09-29 12:01:45
0
scholastica410
scholastica :
alooh kazi ipo😭😭😭
2026-09-29 11:32:03
0
mahundafaraji
Small Bee🐝 :
kumbe hata nyumbani
2026-09-29 11:39:09
0
mwanamkasibondemf
mwana💗💗💗 :
shda ipo wapi kwani au nauli
2026-09-29 11:21:53
0
user8148121609172
Toba safi :
Sasa Moshi to Arusha mbona hawagomi
2026-09-29 10:12:44
0
salha4005
@salha4005 :
Mpaka haki ipatikane
2026-09-29 09:49:06
0
joyce78120
joyce😍😍😍 :
𝘩𝘶𝘬𝘶 𝘮𝘢𝘳𝘢 𝘯𝘢𝘱𝘰 𝘮𝘢𝘥𝘦𝘳𝘦𝘷𝘢 𝘸𝘢𝘮𝘦𝘨𝘰𝘮𝘢
2026-09-29 10:42:11
0
user7404798081213
Yona :
haki itendeke nao madereva wamesoma
2026-09-29 12:21:49
0
multchoice
multchoice frank :
boss kagoma ingekua wanagoma hv kupanda Kwa nauli ingekua maana sanaaa
2026-09-29 10:38:59
0
sheuyasheuya
SHEUYA SHEUYA :
chala mila mbona c.muon
2026-09-29 10:34:03
0
lutufyo0
Lutufyo :
😂😂Mwaka huu baiskeri za mitano tena zinatuhusu . Je na police ccm wanasemaje?
2026-09-29 11:26:49
0
To see more videos from user @tanga.bus, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About