ila kusema kwel mm sijawai ona asma akimnunulia zawad mama chanja
2026-09-29 08:22:52
267
kelly🖤♏️ :
Ooh! my gwaad umesahau😒
2026-09-29 08:23:24
1
️🌸 :
oooh my gwaaaadeee 😂
2026-09-29 07:53:28
39
_._Nunny :
Tulikuwa kma ivii wakanirogea shoga angu😩😂🙌🏻💔
2026-09-29 07:56:52
312
Maryrose🥰 :
Small circle with a lot of love🥰🥰🥰
2026-09-29 09:24:48
2
Kajala mtoto❤️🦋 :
Siri ni kuwa na rafiki aliekuzidi umri 🌝🌝
2026-09-29 09:13:39
27
Tinah luxe collection_🛍️🌸 :
Kuna Mtu angenivumilia kdg tu sahv ningekuw namspoil sku moja moja😂😂😂💔
2026-09-29 08:41:14
11
Blush_bae🤭🦋❤️ :
Oooh mai gwaaadaaaa❤️❤️❤️❤️❤️❤️
2026-09-29 08:51:10
1
SWETTY LUCKY🇹🇿💕 :
Sijpenda mama chanja ujasema oooh my gwadooooo🤣🤣🤣🤣
2026-09-29 08:23:52
6
It’s Vinny💎💞 :
Oooh my gwaaaaarraaaaa❤️😂
2026-09-29 09:05:08
1
Rahma🥰💖 :
urafki wa hv mtam mkiwa mnahela wote
2026-09-29 08:50:22
12
Umu :
oh my gwaade Esther naomba niwe chanja girl 👧
2026-09-29 08:18:54
0
Rafia love :
happy birthday dada
2026-09-29 08:16:51
1
Princess Angel❤️🦋 :
Rafk angu alichagua kuniacha 😂🥺kaenda kwa marafk zake💔😂
2026-09-29 08:38:37
7
vkookie_💜⁷ :
oooh my gwaaado😂
2026-09-29 07:52:36
43
cafren beauty salon :
mimi nina moyo wa ma chanja ila marafiki ndio sitaki tena
2026-09-29 08:29:50
123
mariamgomisi :
Nilikua narafiki wa utoton akafariki na kansa jamani
2026-09-29 08:26:34
11
Fina🤍 🇹🇿🇰🇪 :
Kodi yangu imeisha tangu tarehe 20 sep nikiona ela nahisi uchungu moyoni
2026-09-29 08:22:25
5
Angel ombeni✅ :
Nilikua na rafiki kama uyu ila alikua na asira ata visivyo maana 🫢🙌🏻
2026-09-29 08:08:29
73
miss Luna 🌕🌙 :
Nashukuru sina rafiki maana najua tu nikipata rafiki itakua kama NAS B na BABY LOVE
2026-09-29 07:56:26
22
rahmaommy0 :
MUNGU RAFIKI KAMA HUYU TU BHAAS🙏
2026-09-29 08:22:06
27
MISS INDEPENDENT 💎 :
Asma na Mama Chanja ❤️🥺 napenda sana sana urafiki wenu Kwa kweli, nawapenda na najivunia kuwaona mkiwa pamoja na mkisaidiana❤️Allah awabariki sana Asma na Mama Chanja, awalinde na aulinde urafiki wenu. 🤲❤️Nawatakia mfike mbali zaidi, mpate mafanikio makubwa na kila mmoja afikie ndoto zake
Nawapenda kwa dhati, na nitazidi kujivunia urafiki wenu. ❤️🫂 Asma na Mama Chanja, Mungu awafungulie milango ya kheri na mafanikio. 🤲✨
2026-09-29 08:44:56
6
kevoo_Mdo :
Oooh my gwaaad Mama chanja naomba basi niwe best yako na sio kwasababu nimeona hela😂
2026-09-29 08:50:47
12
Pendo Daffa :
Sema Mama chanja unampenda sana Asma
2026-09-29 08:20:19
6
feyree06 :
love is sweet but when money enters love is sweeter 😁 @sarai🥰
2026-09-29 08:05:00
17
To see more videos from user @mama___chanja, please go to the Tikwm
homepage.