@simukitaa: Kwahiyo Mlisema Charge Og Ni 25k?😁 Au Tuwaokotee Mawe? 😁, Nipende kusema hakuna charge Original ya apple kabisa inayouzwa bei hiyo Charge original Ni ghali Mwanakitaa.. And Unatakiwa kujua Cheap Is expensive Na Charge Feki Ni Hatari Kwa Simu Yako Na Kwa Afya Yako.. Nawakumbusha tu pia kwamba hapa ndo mahali pekee ambapo utajipatia simu original kabisa tena kwa bei nafuu.. usisahau kutufollow na kuturn on post notifications ili uwe wa kwanza kuona Post Zetu.. Call/Whatsapp 0712 858 344 Tunapatikana Sinza Mori #hamjaonakitubado? #Simkitaa #Sanukakitaani #iPhone18 #Apple