@seran_makaray: #10000million #ai #viral #8keffect #foryoupage

MaKaRaY🦅
MaKaRaY🦅
Open In TikTok:
Region: TZ
Tuesday 29 September 2026 08:31:36 GMT
46744
2791
312
155

Music

Download

Comments

salumomar818
salum omar :
miss u maalim popote ulipo you are the legend
2026-10-04 15:44:46
0
salha387
salha387 :
Allah amjaalie janna firdausi
2026-09-29 10:45:06
82
user41177298813760
tiktok :
haijawahi wala haitowahi kutokezea kiongozi kupendwa na wananchi wa nchi nzima Tanzania bara na Zanzibar yake kama Maalim seif sharif Hamad.
2026-09-29 16:20:14
67
said.hamad126
Said Hamad :
jamn ashakufaa tumuache apumzike
2026-09-29 10:18:41
20
arsaid007
Arskh :
nikimuona Rais wa wapemba nalia sana
2026-09-29 11:31:58
17
shinerashid1
shinerashid1 :
HUYU NDIE ALIEKUA BABA WA TAIFA LA ZANZIBAR, ALLAH AMREHEMU SHUJAA WA KWELI💯
2026-09-30 12:05:18
11
user5271696619483
Sammaira :
Allah akuingize pepo ya firdaus pamoja na babu na bibi yngu
2026-09-29 13:50:27
26
nazzrinnassor
Nazzrin Nassor :
I miss you my uncle 😭😭😭😭😭
2026-10-03 16:47:16
0
islamm.shariff
Islamm Shariff :
salooote🫡🫡🫡
2026-09-29 08:37:30
4
antoni.masha
Antoni Masha :
inatosha usikumbushe vilio vyawatu
2026-09-29 17:17:27
5
user8431582506509
RA$EL👍👍 :
Allah mlaze mahli pema peponi
2026-09-29 08:36:59
6
idd_ommy
Idd_khan :
hebu mwacheni mzee wa watu apumzik kwa amani saw saw🥰🥰🥰🥰
2026-09-29 13:04:37
6
user5944409456873
Rashid :
Allah amjalie khery. Hakika kwenya maisha yangu. Huyuuu mzeee nimthamini sna sana. Ni mtu mwenye uchungu na nchi yake
2026-09-29 12:33:04
5
nayrat92
nayrat...mobile📲 :
Allah amswamehe mazambi yake🥺
2026-09-29 10:07:59
7
zam1737
zam :
yaarabi litie nuru kaburi lake mjawako huyu
2026-09-29 09:34:56
8
sulesha.chipx
sulesha chipx :
Acha kaka utatuliza kaka
2026-09-29 18:24:16
5
chama9289
mrs ally🥰 :
Allah akusamehe makosa yako akupe pepo amiin
2026-10-01 15:08:22
1
user41177298813760
tiktok :
dogo wa Ai leo umeturudisha wazanzibari ktk siku yenye simanzi na huzuni sana. hata mm najikuta ninalia majozi yananibubujika.
2026-09-29 16:15:48
5
fatma.lolo80
Fatma Lolo :
Allahumma ghufirlahu warhamhu 😭😭 Allah akulaze pema peponi
2026-09-29 19:47:57
3
haidhamsalum
Haidham Salum :
Allah amrehem, amlaze mahala pema pepon na sisi atupe khusnil khaatima aamin
2026-09-29 19:24:31
3
user942760874045
missjunaina :
Mungu amlaze mahali pema maalim
2026-09-30 12:21:51
3
mohd.salim9095
Mohd9095 :
Allah amsameh makosa yake Pamoja na wazazi wetu🥰🥰🥰
2026-09-29 16:50:21
3
emmy_nairah
Emmy_nairah :
Yaarabi msamehe madhambi yake ya siri na yadhahir
2026-09-29 14:35:04
4
momo202093
momo2020 :
pumzika kwa amani maalim Seif[Heartwarming]
2026-09-29 10:51:38
5
maylah452
maylah :
ningepewa nafasi ya kuwarejesha nnao wapenda basi huyu na baba yngu 🥰
2026-09-29 19:18:36
1
To see more videos from user @seran_makaray, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About