mbona quran ndani ya swala haisomwi kiswahili pia sisi hatuelewi kiarabu.
2026-09-29 09:53:54
23
Ismail Bwana :
Khutba ni ujumbe ambao watakiwa ufahamike na Kila mtu
2026-09-29 11:22:49
26
Ahmad Ribaat :
dalili isemayo ikiwa watu sio waarabu watumie khutba ya kiswahili hiyo hadith iko wapi
2026-09-29 10:50:11
6
G. Farah Ideed :
huna hoja, sasa pia swala tuzungumze kwa Kiswahili
2026-09-29 10:17:23
10
ابو صالح شريف بن يوسف :
من شروط الخطبة الجمعة ان يكونا بالعربية
2026-09-29 11:42:03
9
misses isihak :
Allah anasema wawekeni viongozi kutokana na nyinyi maana yake ili muwaelewe wanachosema angalia sula ahzab ndomana wakati wa maswahaba hakua kiongozi mtu wa madina
2026-09-29 18:15:02
0
save kumbukumbu masomo :
hujaelewa swali khutba sio mawaidha .kama lengo nikufikisha watu waelewe mbona swala haina tarjuma .
sunna ya mtume ipo wapi hapo au ninani aliesema mlete lugha zenj
2026-10-06 02:17:42
1
DR Nkara :
hoja yako ni dhaifu ikiwa IJUMAA khutuba na rakaa2 ndio ukamilifu wa swala Je ndani ya swala lugha tofauti na kiarabu yaswihi? au wajizima data?
2026-09-29 12:04:53
1
Aly :
hakukua na waarabu wote ustadh
2026-09-29 09:37:14
0
꧁༒☬Zahran☬༒꧂ 🔥 :
mbona hamuendi na sunna hapo mwaleta maelezo kma sisi tunavyofanya
2026-09-29 17:06:55
1
Juma Akida :
kwani lengo la khutba nini na kwanini Allah akatumiliza kila ummu mtume kwa ulimi wa watu wake
2026-09-29 11:51:14
0
Sankara :
MTUME s.a.w alimtuma Salman Farsy ende kwao akalinganie watu dini. Salma Farsy akamuuliza MTUME s.a.w. jee siku ya ijumaa niwakhutubie kwa ki Fursy?? MTUME s.a.w akamjib Laaa!! khutubu kwa kiArabu. mbona hakumwambia khutubu kwa ki Fursy ili waskie wasema nini..alimwambia khutubu kwa kiarabu
2026-09-30 04:20:40
1
NABAHAN ONLINE TV :
hiyo c hoja kaka khutba ya Ijumaa sharti iwe kwa kiarabu
2026-10-05 09:09:24
1
Abu ahmadh :
swadakta
2026-09-29 08:51:04
7
al-Izabello :
khutba ni ile ile yakiarabu ila yatafsiriwa nakushereheshwa Kiswahili
2026-09-29 09:29:28
1
Feisali Feisali :
kwanini tukiswali hatutumii tarjima ya kiswahili
2026-10-04 08:32:57
1
super.M :
kwanini mnasoma maulidi na mtume hakusoma maulidi?mmeyatoa wapi?
2026-09-30 05:49:12
1
bwansomo :
shekhe huna hoja khutba nikatika Ibada.tupehadithi ya mtume.ya mtume alisema khutba ya ijuma itoweni Kwa. luga yenu.
2026-09-29 21:11:31
1
AGOE :
watu wasome kiarabu wajue na wafahamu
2026-09-30 07:06:11
3
Suleiman👴🏾 :
Vipi na Adhana tuipige kiswahili ili iwe bomba🔥
2026-10-10 13:42:33
3
Gaucho De Pain :
Assalam Alaikum. mahala hapajafahamika abawa ni Mtumi (S A W) alitoa mawaidha kiswahili? pili je kuna mahali alisema kila mtu atoe mauidha kwa lugha yake? mana mumetuaminishia kitu Mtumi (S A W) hakufanya au maswahaba hakifai kufanywa....
2026-09-30 04:38:47
1
Big Brother :
so hio sio bidaa
2026-10-04 19:56:36
1
Ust, Siraaj... :
kumbe wewe ni mzuka namna hii Subhaana Allaaah.
2026-09-29 15:20:22
1
Chao :
hutuba ni mojawapo ya kipengele cha ibada iyo ya ijumaa iweje uibadilishe
2026-10-01 06:57:23
0
simple boy@98🇰🇪🇮🇶 :
sasa hutba ya ijumaa Ni ibada ama haipo katika sehemu ya ibada?
2026-09-29 09:27:20
2
To see more videos from user @abdulqadirmasuo, please go to the Tikwm
homepage.