@abisainzali: YAMEBAKI MASAA TU! Badala ya kununua eBook kwa gharama ya kawaida ya Nusu bei yaani 50% ya bei ya Nakala Ngumu, Sasa Leo ni Ofa ya punguzo la Asilimia 50% zaidi! Lipia 4900/= tu badala ya 10000/= na upate eBook yako ya kiswahili ya THE BURDEN OF FREEDOM (MZIGO MZITO WA UHURU) Soma popote ulipo kupitia Tablet, Simu Janja, Kompyuta, Laptop, Ipad au kifaa chochote Cha kimtandao. Kitabu kinahusu Siri za ufalme wa MUNGU za kupata uhuru binafsi na kutibi majeraha yaliyotokana na athari za Utumwa, Mateso na Umasikini. hakuna haja ya kusubiri siku tatu au Nne kupata kitabu chako Nunua Sasa na upate wakati huo huo. Safari ya Uhuru wako inaanzia Hapa. Lipia kupitia Mpesa 0758131352 (Abisai Nzali) kisha tuma Uthibitisho wa muamala kwenda Whatsap 0758131352 kisha utapokea Ebook yako. Kama utapoteza eBook yako ndani ya miezi 12 utatumiwa Tena bila kulipa Gharama za ziada.

Abisai Nzali
Abisai Nzali
Open In TikTok:
Region: TZ
Tuesday 29 September 2026 08:42:00 GMT
42361
2580
41
120

Music

Download

Comments

captainmaby
captainmaby :
respect bro
2026-09-29 08:47:10
6
timotheojaphet.55
timotheojaphet 550 :
correct
2026-09-29 09:35:37
1
casto.maliyamungu
casto maliyamungu@451994 :
soft copy bei gani kaka
2026-09-29 16:06:56
2
drboaz6
drboaz6 :
nahitaji kaka ila niko katavi inawezekana
2026-09-29 21:18:12
0
urwelcom44
De boss :
Kaka uko vizur kwa upendo wa MUNGU. Sijui utanielew uko sahihi kwenye mfano wako je mimi niko sahihi kusema hapo si utumwa bali ni upendo uliotawala kati hao viumbe wawili?. Ni tafakuli tu tuendelee na somo letu
2026-09-29 12:37:45
5
yohanalukasi862
Yohana Lukasi :
umesema ukweli kaka asante
2026-09-29 15:10:05
2
sajefreyruvako
Sajefrey r3 :
👑👑👑📖🦅😄🫡Hadi nimecheka 🥹👋👋👋👋🇹🇿
2026-09-29 09:24:03
2
sele23628
sele :
asante sana
2026-09-29 15:30:13
1
johaness200
jay :
nakupataje
2026-09-29 15:21:16
2
future.kwanza
Future kwanza :
Nimelipia tayari nasubiri watsap
2026-09-29 12:37:41
1
hellenjumwa
jakoyas :
mmm dah mazito haya
2026-09-29 13:29:56
1
user316061775402
user316061775402 :
hicho kitabu ntakipataje?
2026-09-29 18:16:30
0
big.man.b5
@Bafla amani :
Hongera sana bro
2026-09-29 18:20:17
0
bumijambwambo
Bm2link :
tunakipataje
2026-09-29 18:42:13
0
richfine3
richfine :
Niko kenya vipi nitakipata
2026-09-29 14:39:02
0
labisonandrew
labisonAndraw :
amina
2026-09-29 18:33:32
0
mwapu93
mwapu :
hakuna nguvu inayotumika, #lesson kubwa #utumwa
2026-09-29 08:49:31
0
casto.maliyamungu
casto maliyamungu@451994 :
yaan tangu nimeanza kukufuatilia mpaka hapa nilipofika najiona nipo huru sana kaka hasa kwenye vifungo vya dini na ajira
2026-09-29 16:08:51
2
user4188031441508
DANIEL.. :
utapotezwa. tunakupenda
2026-09-29 10:58:35
0
barakakusaluala
Baraka Kusaluala :
Ndy Tz sasa
2026-09-29 11:17:36
0
zonkoofficial
MGWANI♌️ :
Mazoea
2026-09-29 11:46:53
0
nyules1
California :
Upo sahihi brother
2026-09-29 14:00:48
0
user562407836161
MwaiKWaba Niyeye :
2026-09-29 20:29:21
0
user.iragimulegwa
user iragimulegwa :
Hivi ndivyo tulivyo wengi wetu ambawo hawaja kombolewa kifikra.
2026-09-29 11:37:12
0
shannarsaidswahili
SHANNAR SAID :
kweli kabisa
2026-09-29 09:07:47
0
To see more videos from user @abisainzali, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About