@kajenjere_media: Madereva wa Malori na mabasi wanapinga mfumo wa alama, wakitaka suala hilo kufanyiwa marekebisho kabla ya kurejea kazini. Mabasi mengi yamesimama, huku abiria waliokuwa wakitarajia kusafiri kwenda mikoa mbalimbali wakilazimika kusubiri. #kajenjereprinting #kajenjerewastemanagement #kajenjeretradingcompany #kajenjeremedia #kajenjeretelevision

Kajenjere Media
Kajenjere Media
Open In TikTok:
Region: TZ
Tuesday 29 September 2026 08:43:39 GMT
79592
3235
190
80

Music

Download

Comments

leonardfredieluva
pixelprint_tz :
taswira mbaya Kwa Taifa
2026-09-29 10:12:05
30
yuss_man
Yusuf Amin :
wanachi mpaka sasa tuna vikosi vya ulinzi na usalama viwili tu gen z na maderava 😂😂
2026-09-29 11:20:04
29
aronmtui709
aronmtui709 :
Waziri wa mambo ya ndani [Tears of joy][Tears of joy]
2026-09-29 10:18:29
0
jamesmaneno307
sinani official :
sasa kama alama mmeweza kugoma kwanini msigome na mafuta
2026-09-29 10:03:30
8
graderoperator21
Op Benard👷🏾‍♂️♋️ :
Hawa ndiyo wanangu sasa[Tears of joy][Tears of joy]
2026-09-29 11:36:42
16
user7612057691396
user7612057691396 :
Doa kubwa Kwa Taifa
2026-09-29 10:54:16
4
bakitakihongosi
bakitakihongosi :
Tutakosa Biashara sasa jamani Wazungu wa watu wamekosa nini😅😅😅
2026-09-29 10:01:02
9
user3597328192935
user3597328192935 :
nchi ishaoza hii bado kutoka funza tu
2026-09-29 10:43:18
6
franklin2646
Franklin :
Kwani FFU wako wapi?
2026-09-29 10:05:31
6
mkork
m.kor~ fashion :
IVI TAREHE 29 INA SHIDA GANII?🤔🤔🤔
2026-09-29 11:33:10
1
drkuyengajr14
Dr Jacton H Kuyenga :
ila hii wangeanza kipindi mafuta yanapanda 🥺
2026-09-29 09:56:34
5
yusuphomary517
Yusuph Omary :
hili swala la kukatwa point kwenye leseni haliko sawa labisa unakuta kosa la gari labda taa haiwaki au tair imeisha askar anakuandikia faini kupitia lesen ya dereva boss atalipa hiyo faini lkn vp kuhusu dereva aliyekatwa point
2026-09-29 09:58:14
2
shukranihakimu
Mama girl :
shida ni nn Kwan 😂😂😂
2026-09-29 12:27:33
1
geofraymahundi
DELEVA MPOLE 91 :
watalii wanatalii Tena hapo
2026-09-29 10:14:31
5
user732500842162
Hussein :
Nakubali Wenetu Mnatuwakilisha Vyema Saluti Sana C Bado Tupo Zaire uku
2026-09-29 11:06:58
6
grolyalex849
Elizabeth Matayo :
sasa ao watalii wamekosea nini jamani🤣🤣🤣
2026-09-29 11:36:17
0
user8383801218016
Wagon :
hao watalii wabakua fundisho kwa weingne
2026-09-29 11:31:23
0
jaylubasha
jay :
Hii tarehe 29 sijui Ina nini tuu🔥
2026-09-29 11:31:28
0
mackfungo
Mr msafi :
hiii sasa ndo bongo kabs yenye uhalisia
2026-09-29 11:30:49
1
mamagkipenzichababaake
Mama G 💕💗💕 :
sasa arudi nyuma aende wapi kama ni wapitaji tu 🤔
2026-09-29 10:09:15
2
stephangunzar_165
chachastephan :
naona gen-z tunafaa kuwapambania madereva wetu,
2026-09-29 12:12:27
1
ernest.magawa
ernest magawa :
mkoagani apa
2026-09-29 11:27:22
1
user2253408752009
user2253408752009 :
hapa ndio ukiskia NI Jambo jema kugoma lkn utekelezaji wake NI mbaya mtu hausiki na Aina ya KAZI yako unamzuia ukikamatwa ukafunguliwa kesi unakuja Kwa wanachi kuomba huruma na lawama serikali mbaya
2026-09-29 10:26:49
4
mkinga_creator
Mkinga creator ✅ :
vzr sana serikali ijiangalie vzr maamuz yao
2026-09-29 09:57:32
4
lutufyo0
Lutufyo :
😳😳😳 Duuu
2026-09-29 09:37:21
2
To see more videos from user @kajenjere_media, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About