Imagine awa siyo ndugu wa damu kabisaa na Awajuwani kabisaa wamekutan mjini tu ila upendo wao ni zaid ya ndugu
2026-09-29 09:09:18
363
NILLAH🥰 :
mnaona remy anavosikiliza
2026-09-29 08:58:21
396
shammy🍭🍭 :
nimejikuta namkumbuka rafik yang ambae tumetengan🥺🥺
2026-09-29 09:48:36
40
montanatz :
Maliza kwanza video comment zipo tu
2026-09-29 09:02:56
124
Slorina 🫂🇹🇿&john047 :
Mama chanja mimi uwa sipati Rafiki wa kweli uwa napata wambea Masnichi. yaani nashindwa. kuelewa nimeamua kubaki mwenyewe bila rafiki 😭
2026-09-29 10:23:32
14
She-is❤️ :
The way asma is talking with him ase nimependa😌❤️
2026-09-29 08:59:12
86
challah001 :
🥺😣♥️Naomba nipate Rafiki mzuri mwenye moyo wa huruma,uvumilivu,tusapotiane,tutiane moyo kwenye magumu kama upo ni DM wallah I need best friend ♥️
2026-09-29 10:02:58
12
zrelxy :
aisee I need a best friend like them
2026-09-29 10:41:29
0
It's Davido :
Remmy umepata mama mwenye moyo safi sana
2026-09-29 09:06:52
53
Mbembati fashion ✨️ :
maneno ya hekima sana kwa rafiki wa dhati
2026-09-29 09:00:35
90
Mommy Ikram 🦋 :
Aje mtu tupendane ivii 🥲
2026-09-29 09:30:06
11
@eliasadiki :
watu kama hawa n wachache sana kwa dunia hii🙌🙌
2026-09-29 09:46:56
7
Ritha rungu :
Remi anasikiliza kwa hekima
2026-09-29 09:02:56
28
Pochi nene💰🦋🤑🦋💸 :
Ila remy ni msikivu sana[Heartwarming][Heartwarming]
2026-09-29 09:54:32
0
it'z fay🥰♎ :
Happy birthday to me also[Attractive][Attractive]
2026-09-29 10:27:36
0
BENMAD44 :
You should know I love you all so much, I am in Geita you came and I couldn't see you but I pray, if I just see you I will be happy and God will bless you.
2026-09-29 10:08:26
0
junior💕💕🌹💕💕🇷🇼 :
daaah asma jamn mbn unaniliza mm mungu awape aman nakuelewana jamn❤️
2026-09-29 09:03:15
18
brilliant✨️ :
i feel so jealous🥹🥹
2026-09-29 10:24:14
0
Nusra nahdi 🦋💕💫 :
mnanifanya naliya wallah 😭😭😭🥺
2026-09-29 09:11:54
8
aziza Pima :
Handi raha nawapeda san huwa mnanifariji san❤️❤️
2026-09-29 09:00:52
40
asmakhan :
jaman tumechoka kulia inatosha sasa
2026-09-29 09:14:58
7
ABBY :
ooh my Gwaaad jmn machozi yananlenga
2026-09-29 09:09:27
14
Dreamy 💫🌟 :
Maneno mazurii jmni asma 😪😔😔
2026-09-29 09:15:19
12
Marry outift😘🔐 :
Mama chanja leo umenifanya nimeliaaaa sana😭😭😭😭
2026-09-29 09:27:04
10
ibtisam :
alikua ana uona joke hayo maneno ya 1
2026-09-29 09:20:44
26
To see more videos from user @mama___chanja, please go to the Tikwm
homepage.