mim mamamkwe atakaa mbele iseee kwani mume wangu simuda wote gari letu tutakaa tu yooh 🙏🙏kwakweli ata bibi akae tu mbele mengine nimazoea tu jmn kujizoesha let them enjoy some moments
2026-09-30 10:03:05
1
Cutee Imory❤️ :
dah mm naona apo mke ndio akae ili kumsapport mme wake🤣🤣
2026-09-29 13:34:57
1
Lebeka bonifas isaka :
Mama mkwe akiwa na hekima akae nyuma
2026-10-01 18:31:32
1
FIDELIS CASTRO :
Adi kwenye gari
2026-09-29 10:21:18
1
loveness :
mke
2026-09-29 10:52:10
0
Christian Maembe :
mama mke nitambembeleza chumbani
2026-09-29 11:34:53
0
Mc_joely1 :
Mim naona jibu la kwanza ndo sahihi
2026-09-29 09:37:38
0
assy massy :
Binafsi nitamwacha Mama akae mbele bila shida yoyote
2026-09-29 17:12:00
0
Cute lawi🥰 :
mama mkwe ndio wa kukaa mbele afurahie mji Sasa mim mke nikae mbele wakati mama mkwe yupo hiyo adabu gani
2026-09-29 14:09:29
0
dawam19 :
anhaa hapo sawa [Like]
2026-10-01 14:14:55
0
Zabron/JE :
2026-09-30 17:33:28
0
Pnkgal. 123 :
Ni mke
2026-09-29 11:53:10
0
Angel :
Umejibu sahihi sana jaman
2026-10-01 08:45:45
0
mz :
nadhani wote watafika Kwa pamoja akikaa mbele akikaa nyuma wote hufika pamoja hekima itumike kama mama anaomba kukaa mbele akae mbele
2026-09-30 16:42:23
0
uncle wille :
MKE
2026-09-30 20:17:17
0
kabadamapase :
ni mama bhana
2026-09-29 12:01:41
0
MRS MARTIN :
mke
2026-09-30 16:07:34
0
Angel :
Me nishazoea zangu kukaa nyuma namwacha ma mkwe anakaa na kijana wake staki. Kujikondesha mim kikubwa nifike salama jamn
2026-10-01 08:47:22
0
Havana cakes mwasonga :
Kila mtu akae mbele kwenye gar ya mume wake
2026-10-02 19:24:09
0
Juliana :
jamani maubiri mazuri niombeen na mim nipat mme
2026-10-04 07:30:15
0
Jenipha Kanisiusy :
jamani mke ndio anatakiwa akae mbele kuna wanaume wetu wengine wanatabia za kujampa.sasa akimjampia mama yake bora mimi nishazoea hiyo mishuzi
2026-09-29 18:29:51
0
basimeponsian :
☺️☺️☺️
2026-10-01 02:48:29
0
To see more videos from user @kijah_mpunzi, please go to the Tikwm
homepage.