@donmaster062:

Don master🥷🏿 🌴
Don master🥷🏿 🌴
Open In TikTok:
Region: TZ
Tuesday 29 September 2026 09:19:55 GMT
86039
3234
172
1656

Music

Download

Comments

user4036107160085
JUMMAH💥💥 :
figo zinajuaje kama ni usiku
2026-09-29 12:03:47
77
akfootballteam
AK football team :
Hii ndo Tz bhna
2026-09-29 18:03:25
0
_minah_tz
minah🛍😊 :
kama ndo hivyo me figo zangu zishaoza nahisi😥
2026-09-29 10:08:49
40
racheljuma
Rachel Juma :
me sn kbs
2026-09-29 13:58:05
0
user44373133228216
Didah😘 :
langu lishaoza bc
2026-09-29 20:11:21
0
halima.hemedi52
halima hemedi :
wale ambao hatuna ataa wakuchti nao tujuan
2026-09-29 14:12:56
7
tinaa13906
tinaa :
mbon wew jan ulikuwa live jn saa tisa usik😂
2026-09-29 15:03:03
10
mwadax45
👳🫀Shakdax shakx💯🧕 :
we liongooooooo
2026-09-29 22:32:34
1
beibsharifa
Official Sharifa 254💥 :
nachoka mm
2026-09-29 17:50:51
0
tipher.khan
tipher khan 🥰 :
Bora yang mie nimeachika sasaivi nalal mapema tuuh
2026-09-29 18:36:38
2
0_rebby
Rebby💞 :
watu kwa kujiamulia😂
2026-09-29 15:36:57
4
helenakaizilege
helenakaizilege :
mi figo yangu ishakufa maana uwa nalala Saa Saba au Saa nane na Saa kumi na moja nipo macho 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
2026-09-29 20:24:21
1
ahmedy.muu
Ahmedy Muu :
kwisha mm😅
2026-09-29 10:58:38
1
faith.hilary73
Faith Hilary :
Kwan Figo zenyewe zinasemaje?
2026-09-29 15:33:16
2
mswamu3
🅜︎🅢︎🅦︎🅐︎🅜︎🅤︎🇹🇿🇿🇲 :
avanu
2026-09-29 10:02:37
0
user1026083252957gddx
Tr Fel✨ :
😂😅😅heee ngoja nilaleee😅
2026-09-29 19:05:50
1
skymsuya2
sky'smsuya🇰🇪🛫 :
kurara ni nini kwanza
2026-09-29 18:06:46
1
florajohn145
Flora john 🍎🍎🍎 :
alaf Kuna sisi Kila siku tuna lala kesho Yani kwanzia sa sita na kuendelea Yani mchana ni ivi tu
2026-09-29 13:55:35
3
asnath.aboubakary
asnathaboubakary :
hv mbn mnanichanganya jmn sas mm ambay nafany kaz za usiku?
2026-09-29 15:22:15
1
flora.kome
Flora Kome :
umechelewa kusema bana yee
2026-09-29 13:30:24
1
rickybee624
dream girl💞 :
mmmh mbn mm naendaga mpka asbuh
2026-09-29 13:49:06
1
user8625938771386
𝓶𝓼𝓱𝓾𝓷𝓾 𝓯𝓮𝓽𝓽𝔃 ✅ :
𝑤𝑒𝑤 𝑚𝑒𝑚 𝑛𝑖𝑙𝑎𝑙𝑒 𝑠𝑎𝑎2 𝑛𝑖𝑚𝑒𝑘𝑢𝑤𝑎 𝑘𝑢𝑘𝑢 𝑤𝑒 𝑣𝑒𝑒𝑒𝑝 𝑚𝑑𝑎 𝑤𝑎𝑛𝑔𝑢 𝑤𝑎 𝑘𝑢𝑙𝑎𝑙𝑎 𝑛𝑖 𝑠𝑎𝑎 7
2026-09-29 15:43:40
1
officialfaa25
@official faa💞 :
qpo tumekataa
2026-09-29 22:56:21
0
user5810812058810
pearlmary47 :
umefanya nizime simu!! hii ndo content ya mwisho kuiangalia! usiku mwemeni jaman
2026-09-29 22:40:56
0
hopetatus.mwebese
@hopetatus mwebese :
nakucheza efootball jeee😂
2026-09-29 23:35:02
0
To see more videos from user @donmaster062, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About