Kabla sijaendelea naomba kujua kiwango chako cha elimu maan sote tupo kujifunza sio kwa ubaya lakini Pili Ngoja nikuelimishe kidgo bwna mdgo 1. Prof. Arthur Allison
Alikuwa profesa wa Uingereza na mkuu wa Idara ya Electrical & Electronic Engineering katika University of London. Alikuwa anachunguza dini mbalimbali, ikiwemo Uislamu, na akalinganisha mafundisho yake na dini nyingine. Baadaye alisema aliona Uislamu unaendana na akili na maumbile ya mwanadamu, na akatamka Shahada. 2.Prof. Jeffrey Lang
Huyu ni profesa wa hisabati kutoka Marekani, aliyekuwa Associate Professor katika University of Kansas. Alilelewa katika mazingira ya Kikatoliki, lakini baadaye akaanza kuhoji masuala ya Mungu na dini. Alipopewa Qurโan na Muislamu, alianza kuisoma kwa umakini na hatimaye akasilimu. 3. Ibrahim Khalil Ahmad
Huyu alikuwa kasisi wa Kikoptiki kutoka Misri, mwenye elimu ya theolojia na shahada kutoka Princeton. Simulizi yake inasema alianza kuuchunguza Uislamu akiwa akitafuta mapungufu yake ili aweze kuupinga, lakini utafiti wake ukampelekea kuukubali Uislamu na yeye pamoja na watoto wake wakasilimu.SASA MIMI HATA SIKUSHANGAI UNA UHURU WA KIFIKRA NACHOWEZA KUKUSHAURI EBU TENGA MUDA WAKO KAMA MWAKA MMOJA HIVI CHUNGUZA DINI ZOTE ALAFU UTULEJEE NA HITIMISHO NB USISAHAU KUNIAMBIA KIWANGO CHAKO CHA ELIMU NI MUHIMU SANA KATIKA KUENDELEA NA MJADALA NA KUJENGA HIJA ILI NIJUE NINA DEAL NA MTU LEVEL GANI
2026-09-29 17:48:31
5
Nadi shone :
Quran haijawah kuwa na uwongo
2026-09-29 14:04:52
21
teja wa soka๐ :
dini zote zinamapungufu ila swala la kusem mungu ayupo BIG NO THERE IS A CREATOR HAKUNA KITU KILIKUEPO TU FROM NOWHERE
2026-09-29 16:34:34
9
edymoney27 :
BIBILIA HAINA UWONGO WEWETE, MAANA BIBILIA NIKITABU KITAKATIFU HAKIWEZI KUA NA UWONGO
2026-10-04 11:54:40
2
MAZONGELA JR :
Mungu yupo genz subiri utaamini ni swala la muda TU
2026-09-30 14:34:39
8
Zan_Perfume ๐ธ :
pleas na mimi naomba nipewe uongo moja wa Qur an
2026-10-01 22:48:42
3
Sir mgaya :
๐ ๐ ๐ Safi dawa inaingia mpka wanakimbia.
2026-09-29 10:15:33
17
Star Walker :
Kaka nionyeshe uongo au mapungufu kwenye Aya yoyote kwenye Quran naanza kukufata ww. jitahidi lete
2026-09-30 12:27:36
0
dansan3 :
mi napenda kuuliza ni nani aliye andika bible na quran ni nani.
2026-10-06 10:02:58
1
Bado Haijashindikana ๐ช๐พ :
unfortunately common sense is no longer common to everyone
2026-09-29 13:38:53
8
FarmMax :
2 Timotheo 4:3
[3]Maana utakuja wakati watakapoyakataa mafundisho yenye uzima; ila kwa kuzifuata nia zao wenyewe watajipatia waalimu makundi makundi, kwa kuwa wana masikio ya utafiti;
For the time will come when they will not endure sound doctrine; but after their own lusts shall they heap to themselves teachers, having itching ears;
2026-09-30 11:12:00
1
Ally Yussuf :
uislam hauna mapungufu na qur aan hakuna uwongo
2026-09-30 08:58:59
1
Ahmed :
sahihi wote ni watumwaa wa fikra
2026-09-30 05:08:37
7
Morris Muthure :
pewa mbili kwa bill yangu kaka.
hapa umeongea kama wagenga kumi kwa pamoja
๐ค