@mwangomile_: Replying to @skudu_08 ila luka 😂😂. #tiktoktanzania🇹🇿 #tiktokkenya🇰🇪 #mashabikizangu🙌 #viraldessertideaswithminimaleffort #creatorsearchinsights

last_born
last_born
Open In TikTok:
Region: TZ
Tuesday 29 September 2026 09:29:54 GMT
61311
3619
142
108

Music

Download

Comments

believetz4
Believe. :
mi naitwa Luka Alexander George kakayaani ulivo nielezea ndo Mimi kabisa nimesoma songwe kaka🙌umetisha ukutte nimesoma na wee kaka vip unapatikan wap?
2026-10-05 16:10:57
12
2gmfolco
FOLCO :
Daaaaah huyu mchora meza amenifany niangalie mpaka mwisho🤣🤣🤣
2026-09-29 14:33:13
31
mjamaicaog
salmin-misanga :
Mimi hyo JKT kila msala nlikua natokaa
2026-09-29 10:52:42
6
eddayah.tz983
empire girl BTS💜💜💜 :
huyo ni mimi kaka mpka wakawa wananiita eti mjukuu wa nabii mussa
2026-10-05 16:26:17
2
skudu_08
KUHENGA ⚽️ :
asante kak kwa kunitag nakubali🫡
2026-09-29 09:52:24
4
officialuscher_12
cute uscher🦋💃 :
nauku nipo😁😁😁
2026-09-29 09:41:48
1
prishaanjera
prisha :
nachoka mimi
2026-09-29 12:22:39
1
mbuzzy1
mbuzzy1 :
@bad man unalewa shoo zangu😂😂
2026-09-29 13:24:10
3
angelnestory482
happy enjoy 🥰 :
ila hii story imenifurahishaa kwakwelii 😂😂😂
2026-10-05 13:00:45
3
asya.hatun
Asya Hatun💃 :
uyooo mimi na naliaga jichomoja😂
2026-09-29 22:37:01
3
prime_niccoh17
(Prime~niccoh)📍 :
Huyo rafik ni mim bingwa wa matukio ila sijawah kudakwa😂😂
2026-09-29 12:32:07
4
user516666035
I.P :
kuna wadau ukiwapa chance ya kujitetea huwapati kabsaa!!🤣🤣🤣
2026-10-09 13:59:58
3
mrs.mwa75
mrs mwa :
😂😂😂 hapana
2026-09-29 10:22:51
1
hopply3
Hopply🔥🥰 :
Mmh nilikuwaa si mpenz wa simuliziii ilaaa kwakoooo Daah nagandaa🫡
2026-10-08 13:21:33
2
kichupa.lg.11
kichupa.LG 11 :
Omary😂😂😂
2026-10-06 15:50:00
1
z.lee.tz
😜😜z-lee😘 :
Mimi huyo🙌🙌
2026-09-30 10:51:30
2
ezrajoh2
€zrajoh◇♧ :
uyo mim 😂
2026-10-06 08:28:56
2
alexmsabatho125
alexTz :
ila Mimi🤣🤣🤣
2026-09-30 08:25:45
2
khimj01
Khimj :
uyo mwana mwenyewe ni mimi imewai nikuta iyo nimeluka fenc nmetoka kununua migingi iyo kesi ikafanya niwe mlinzi wa shule "nlimwambia mwalimu nlikuwa nakimbiza wezi wa mabegi dom so wameangusha hivi ata sijui ni vinini"🤣🤣🤣
2026-09-29 18:54:47
4
malaikha072
malaikha :
ila lukaa😳
2026-09-29 10:54:57
2
prinny.amourah
@^poison cherrie🦀🦋@ :
Ila we last born
2026-09-29 09:38:08
2
_adorable_00
adorable :
teacheeer, izi video ziweke screen kubwa
2026-10-09 15:35:08
1
mahegeson2712
MAHEGE SON :
KWAESHIMA BRO
2026-10-20 11:20:19
1
iscocledoman45
mudi isco 4545 :
ila luka
2026-10-05 12:42:35
1
obedysanga385
obby mnyama :
jonson
2026-09-29 11:38:19
1
To see more videos from user @mwangomile_, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About