pombe so chai😂😂😂😂 alikoamia we unakujua siumoeleke sasa😂😂😅
2026-09-30 09:37:02
4
Prisca Ernest :
ila pombe 😂😂😂😂
2026-09-29 21:03:19
3
grace enock :
😄😄😄😄😄 pombe sio chai
2026-09-29 16:29:51
1
Binti sayuni :
pombe siachi
2026-09-30 08:10:18
1
Maria Lema :
watunwa tiktok mmenishinda kwa misemo
2026-09-30 14:02:54
0
loveness Richard :
hhqhha
2026-09-30 17:06:04
0
Isha bebe :
😂
2026-09-29 17:21:48
0
renath :
dh Hilo sass
2026-09-29 22:45:25
0
belladinachatamu :
ilinikuta nililipa nyumba mahali nihamie huko 😂😂😂😂waaaa nikaenda kunywa kidogo tu kurudi kubeba vyombo na mkokoteni
si waelewa ni jioni 😁😁waaa bado Niko kwabaranara na mkokoteni tunatafuta nyumba niliolipia
jirani saidia 😭😭😭siezi Rudi kule nimetoka landlord nilimwambia nyumba zake ni kama dumping site 😂😂😂😂😂😂😂😂😂