@luludivatz: The One Who Stole My Heart @Itsdvoice The Man I Prayed For 🙏🏽🙏🏽 Umekuwa sehemu nzuri sana ya maisha yangu baby mtu ninayeweza kucheka naye,kuwa mkweli kwake na dhaifu mbele yake, kuota naye Usiku , Kufikiria Future Za Maisha pamoja na kuwa mimi mwenyewe bila kujifanya au Kuigiza Sihitaji siku kamilifu nikiwa na wewe, Au Mimi kua mkamilifu kivyovyote Ninataka tu siku za kweli mkono wako ukiwa ndani ya wangu, sauti yako ikiwa karibu nami, na uwepo wako ukiwa karibu na moyo wangu♥️ Nakupenda kwa jinsi ulivyo, kwa namna unavyonifanya nijisikie, na kwa vipande vidogo vya furaha unavyoleta maishani mwangu bila hata kujitahidi🙈 Kama ningelazimika kumchagua mtu mmoja wa kuendelea kumpata katika kila maisha, ningekuchagua wewe Shunu♥️No Marter wat Moyo wangu ni wako, kwa njia zote za kimya ambazo maneno hayatawahi kutosha kueleza ni Jins gani Upo Moyoni❤️ Sihitaji dunia ielewe mapenzi yetu Ninachohitaji ni sisi kuelewana, kuheshimiana, kushikilia upendo wetu na kumwachia Mungu ayaandike yaliyobaki🙏🏽 Na kama kuna watu ambao bado hawajui upendo wa kweli unaonekanaje, basi acha Mungu awaonyeshe kupitia sisi kupitia namna tunavyopendana, tunavyosameheana Kwenye Mapungufu tunavyolindana na kuchagua kuwa pamoja hata pale ambapo si rahisi🥹 Mimi sikuchagua kwa ajili ya kuifurahisha dunia. Moyo wangu ulikuchagua kwa sababu ulipata amani kwako Na Utulivu🥹 Na kama ningepata nafasi ya kuchagua tena, ningekuchagua wewe. Tena Na tena❤️
Lulu Diva
Region: TZ
Tuesday 29 September 2026 10:17:03 GMT
Music
Download
Comments
Itsdvoice :
Caption Already though Love Baby Always Wewe umenibadilisha Umenifanya Nimejitambua Kwa Kila Kitu Im A Man Now unanipenda Najuwa Nakupenda Unajuwa Mungu Anafahamu Tunavyopendana Hata Yeye Anatupendaa Sana Love Is The Beautiful Thing Nikiwa Na Wewe ❤️❤️❤️❤️❤️
2026-09-29 10:29:20
213
Sarah Stanley Mbiu :
Kaka endelea kuwa Mama, kuwa baba kuwa ndugu wa karibu kwa huyo binti cmjui hanijua lkn kiukweli nampenda sanahh sipendi kuona chozi lake hata anapolia kwa ajili ya kufiwa. Hili penzi liwe na umri mrefu km mbuyu INSHAALLA.
2026-09-29 11:13:44
21
mg :
all the best kwenuu
2026-09-29 16:13:19
0
isaac classic boe💪 :
sema mnaendana daaah congratulations [Pray][Pray] nawaombea mate na katoro jamn
2026-09-29 15:30:50
0
AsTalGuerO :
coz we were just kids we fell in love
2026-09-29 14:42:59
0
Nemsies255 :
The love found you babe
2026-09-29 10:27:14
0
never mind :
kila penzi litaonja umauti 😁
2026-09-29 14:30:02
6
🌸CHIOMA-BEAUTY🌸🎀 :
Yooooh caption mashaallah 🥰❤️we are waiting for marriage 🥺❤️
2026-09-29 14:06:08
1
Its_ Jenie :
Naomba tuhiifadh hii tutaitumia december😂😂
2026-09-29 15:52:16
3
Prisca Felix :
nawapenda bule
2026-09-29 14:03:33
0
26👑 :
Mtaachana tu
2026-09-29 14:21:40
3
s.m.i.l.e.s_14❤ :
siamini nimesoma caption mpaka mwisho🥹❤️
2026-09-29 15:03:33
0
FRESH FLOWERS DARESSALAAM :
love is love ❤️❤️🌹🌹
2026-09-29 17:13:00
0
god's daughter :
wow jomon
2026-09-29 17:17:30
0
Mrs Hassan og.💍❤🔐 :
@lulu diva mashaallah mwenyez mungu adumishe penzi lenu mungu awabariki🥰🥰🥰🥰🥰 @d voice
2026-09-29 12:14:35
2
felicious😘 :
divana naomba namm uniweke kweny maombi yako ya kupata true love....inshaallah
2026-09-29 11:10:33
3
kidekideka#keyboard :
kila kitu kitapita🤣
2026-09-29 16:51:47
0
oficiallymaujini :
sem nyie mishangaz mkipend mme penda
2026-09-29 10:23:53
1
comie🦋💰 :
love is beautiful
2026-09-29 13:27:18
0
babe j :
tunasubiri ndowa tuu apo [Heartwarming]
2026-09-29 13:00:11
0
Fridaus :
Wao na iwe ivo iwe heri kwenu kipnz nawapend vep ❤️❤️❤️❤️is
2026-09-29 14:41:58
0
lauradee :
wazinif
2026-09-29 17:13:17
0
tony lyrics 🎼 :
naomba nikufollow tu[Big LOL]
mnanifanya niamin mapenz ya kweli yanaexist ni swala la muda na mtu sahihi
2026-09-29 13:16:29
0
SHEDDY 🏹 ➡️ :
yoote me nmeona kashanga tu😁😁
2026-09-29 15:18:43
0
mirak_shoes :
mmependezana jmn uwii☺️☺️
2026-09-29 15:36:54
0
To see more videos from user @luludivatz, please go to the Tikwm
homepage.