@urafikibuckup: #ABOOD BASI BABA INATOSHA #tanzaniantiktok🇹🇿 #fyp

URAFIKI BUSES Tz
URAFIKI BUSES Tz
Open In TikTok:
Region: TZ
Tuesday 29 September 2026 10:17:30 GMT
41015
2051
47
55

Music

Download

Comments

fredyrugambage
Fredy#🫆 ✍️ :
Abood baba Angalia wengine wana tutegemea tuachia nafas japo kidogo[Laugh approved][Laugh approved][Laugh approved][Laugh approved]
2026-09-29 15:47:28
0
winnie4207
Marywiner :
for sure nothing to say
2026-09-29 17:38:44
0
dannytz677
Danny Tz 💫 :
nakubali nikwaheshima
2026-09-29 11:18:29
6
alpha.gadget.pro6
Alpha Gadget pro☠ :
inatosha abood..
2026-09-29 13:33:40
1
miachaelmlekwa
Tik Toker :
kwani wengine wanamuomba nani au me nakosea maneno yakumwambia mungu
2026-09-29 16:37:24
4
gasperlema
Lema :
huyu jamaa Kila Siku ananunua bus mpya Ila road unakutana na za zamani namba D 😂😂😂😂
2026-09-29 16:26:56
4
macdonald_1428
His_gal🦋💃 :
ila bundi wa usiku
2026-09-29 11:25:22
2
daud.thomas26
Daud truck 🚛🚛 :
Kwa heshima iv nikweli au hapan
2026-09-29 11:39:16
0
sophia.japharry
Sophia🌹🌹 :
kwaeshima 🥰🥰
2026-09-29 11:09:41
0
rapim.d
rapim d :
serikali mkamaten huyu anafanya kufuru sasa baba Abood tunaomba acha ina tosha tz yote namba 1 wewe
2026-09-29 12:37:38
0
tonny.charles7
TONNY_ 7 :
salute yangu ikufikie hatua kubwa sana
2026-09-29 13:25:00
1
elibariki937
elibariki :
wenye pesa watawale
2026-09-29 18:27:49
0
harnagold
misasi one :
Jtat nakutana nazo kamata kaliakoo da inatisha
2026-09-29 18:12:56
0
mbaramwezi1
mbaramwezi_tz :
karibu Tandahimba Mtwara
2026-09-29 17:39:51
0
chipalu1
Chipalu :
uyo mwenyewe mzee au kijana ❓
2026-09-29 19:51:00
0
muuhmasofa
Muuh masofa :
oya baba chalamila uyu mwamba atengenezew stend yake maana uko mbezi akuna paking
2026-09-29 20:54:29
0
barakamsuya53
BARAQAH :
uyu jamaa mwisho 🔥
2026-09-29 17:26:37
0
abubakarrashidiam
Abubakari Rashidi :
hapo ni kafala gan ametowa mi nashindwa kuelewa kbs kwa biashara gan
2026-09-29 20:36:01
0
alphoncbuz
alphoncbuz :
naomba kaz ya ukonda
2026-09-29 15:48:08
0
kinggeofrey
️King Geofrey :
Usiseme hatuna hela sema sina hela bus 20 @500m hapo Jumla 10bn na jamaa hana kelele [Tears of joy][Tears of joy]
2026-09-29 19:34:17
0
user6940717473615
Omyy tz :
muiteni yule mtoo wa baba aone
2026-09-29 15:38:34
0
excellentboy924
excellentboy924 :
abood haeleweki kila siku bus mpya ila mi nikikata ticket napanda mibas ya zaman namba d
2026-09-29 16:58:41
0
user788744567
pacha G :
2026-09-29 16:52:49
0
its.calvin74
it's Calvin :
hizi nimeshuhudia na macho yang zikiingia asee mashine 🔥🔥 🫡🫡 abood afananishwi
2026-09-29 16:21:30
0
To see more videos from user @urafikibuckup, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About