@jaysontz2:

Jayson
Jayson
Open In TikTok:
Region: TZ
Tuesday 29 September 2026 10:36:02 GMT
29632
1215
31
88

Music

Download

Comments

kau4578
kau :
katiba mpya ndio italeta kuelewana vinginevyo mtu..Msemo wa Nyerere atakuwwa akikosana na mke wale anakuja kuletea wengine hasira zake
2026-09-29 13:35:23
1
raina.manda12
Raina Manda :
Mungu awalinde madereva wetu!!!!!!
2026-09-29 15:01:28
1
chacha.denis.ibra
Chacha Denis Ibrahim :
inakera sana
2026-09-29 16:57:31
0
maryam.ahmed0601
Maryam Ahmed :
safi madereva
2026-09-29 12:16:27
1
emy.daniel8
Emy Daniel :
polen jaman
2026-09-29 15:48:43
0
faudhia.mbilu
Faudhia mbilu :
Safii kazenii kabisaaa
2026-09-29 15:13:38
0
brazza_me
Wise Braza :
baba etu na nanii bro😁
2026-09-29 16:35:39
1
amabisamweli
amabisamweli :
kwli kaka
2026-09-29 14:35:49
0
selijusi.malambo1
selijusi malambo :
pole nakazi kivp serikali imekuajiri
2026-09-29 16:05:02
0
cr7inno
Inno :
msiende msiende msiende hii serikali haijali watu wanajijali wao tu
2026-09-29 11:42:44
1
user7805595542598
adam022 :
pole na kaz drreva
2026-09-29 12:13:27
0
innokenzo6
INNO KENZO BOY 🇹🇿🔺️🎧🎵🤘👹 :
polic mbna wanawaonea sana madereva
2026-09-29 11:41:04
0
kiroka52
kiroka :
walitungaje sheria bila kutu shirikisha
2026-09-29 12:29:08
0
swalih_motors
Swalih_motors :
Sio Kwel wanaonewa sana
2026-09-29 10:41:10
0
emmanuelmmbando2
Emmanuel c mmbando :
kweli kabisa msikubali
2026-09-29 12:24:04
0
user5191693841510
JosephMatto :
tugome swala la kuhonga maaskari kama magari hayana vigezo wasiruhusu yaingie stendi na kupakia habiria yaani unapakia au mizigo unatoka standi unaandikiwa gari mbovu mara matairi mabovu kwanini wameruhusu gari kutoka eneo husika barabarani usumbufu
2026-09-29 14:50:44
1
255_off_tz
www.tiktok.com :
serikali iliangalie hili kwajicho la tatu Madereva wanamchango mkubwa kwenye ujenzi wa taifa
2026-09-29 12:27:30
0
user8304199797366
user8304199797366 :
mbona wao hajawahi kulipia veti vyao Toka wamemaliza shule kazi kutuodolea poiti ilisisi tukasometena hivi sisi pesa tunazipatawapi namishahalahatuna walaenisisiefu hatuna hakuna atawazili wakuuliza mikataba ilapoiti ndozinashigilikiwa
2026-09-29 12:59:41
0
tinnah5025
anti dativa :
ndo vizur ajali za uzembe zitapungua
2026-09-29 14:07:34
1
user6135404828556
user6135404828556 :
tz kwa raia hali ni mbaya sana tatz wenye vyeo wamefanya vyeo kama kitega uchumi kwao kuliko kulinda manufaa ya taifa ndomana wanatutesa sana madereva
2026-09-29 12:30:58
1
user5473879315636
user5473879315636 :
yaaan mmi npo tayali kulla njaa ila nigome wanatengeneza mazingila ya askali kula pesa ndefu
2026-09-29 17:39:01
1
aswile.mwambage
Aswile Mwambage :
Madereva ndo tunao endesha nchi lkn hatuheshimiki. kama vipi waje waendeshe wao magari. mbona wasomi hawapelekwi tena shule? tunataka heshima. tuhukumiwe kwa haki na siyo uonevu.
2026-09-29 17:36:32
0
hussein.kinkopela
Hussein Kinkopela :
wenzenu saivi wanaishi kwa faini hapo kazi ipo
2026-09-29 16:47:02
0
jonasjoseph2117
jonboy :
ifutwe ata jina sio stand ya magufuli tena
2026-09-29 18:04:00
0
adam.qassim0
Adam Qassim :
faini ipunguzwe y.makosa.barabarani
2026-09-29 12:33:50
0
To see more videos from user @jaysontz2, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About