haya mambo yapo nvenye hua tunafungwa macho tusiyaone it's true not a movie the way tunafikiiria weeeeh😳😳🤣🤣🤣🤣🤣
2026-09-29 16:15:49
1
Denis Mutugi✅ :
my question Ai inatoanga izi sura wapi
2026-09-29 11:06:22
47
Ambrosemilano :
haya mambo mbona kama yapo Tz kwetu🤔
2026-09-29 11:06:20
113
VIRGO QUEEN :
mbona kama hiii njia inaenda kaweeee☺️😁
2026-09-29 11:20:02
64
esta :
hata sijawahi kuamini hizi kanisa tumsifu yesu kristo wakatoliki wenzagu🙏
2026-09-29 13:19:22
41
Muslih Abuu :
Nexty level plz
2026-09-29 21:18:08
0
Rekhan :
tangu nimeanza kuiona filamu hii sitaenda tenda kanisani kuombewa
2026-09-29 11:18:32
21
Ka. ka. ma :
où sont les congolais
2026-09-29 11:33:20
51
fatinyo :
Mbn kam apo kwa mwamposa
2026-09-29 13:41:30
12
🌺Hezel🌸 beiby💖🌹 :
next episode plz
2026-09-29 15:36:20
1
user7908136946394 :
ila AI kweli kiboko
2026-09-29 14:04:42
0
bintimadirisha1❤️ :
heee sitaki kuamini nmeupenda huo wimbo😂
2026-09-29 12:00:29
12
janethkiwili :
wacha niendelee kusali novena ya mt Rita wa kashia
2026-09-29 17:34:05
9
calitha :
huyu pastor kitunda n kama nmewah kumuona sjui n wap vile[Tears of joy][Tears of joy][Tears of joy]na nyimbo zenu n za kipekee [Tears of joy][Tears of joy]
2026-09-29 14:18:04
2
John Alex Music. :
Pastor KITUNDA ATAKUJA LIN Dar?
2026-09-29 11:16:21
9
willy boda :
[Innocent][Innocent][Innocent] mh
2026-09-29 11:04:03
2
kama# Daniel 254 :
I'm Jonas 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
2026-09-29 17:20:14
0
André ayou :
15 party
2026-09-29 10:54:38
3
PEACOCK 🦚 😍 :
Wakwanza 🥰🥰🥰🥰🥰🥰
2026-09-29 10:51:51
7
nickolausmsemwa :
kitunda
2026-09-29 10:59:23
5
H.C viazibeiposer3785236792023 :
mimi nilikuwa na maji na mafuta naenda kuyatupa mbali sn .duuh😅😅
2026-09-29 11:28:06
7
Fine girl cakes 🎂💞 :
sitaki kuamini kama ni mimi ndo nimeupenda huo wimbo na nimerudia rudia 😁
2026-09-29 11:42:21
9
tsughutsi :
Ufike na beni uonane na mulindwa Jules 😂😂😂
2026-09-29 12:34:44
16
mluluu💜💥 :
wa kwanza leo
2026-09-29 10:48:22
19
m.clementz :
kitunda alivyocheza nomaaa😅😅
2026-09-29 10:54:20
9
To see more videos from user @ulimwengu_wa_simulizi, please go to the Tikwm
homepage.