Usipate tabu kama umeisahau cadi. Hapa Omani hatutembei na mapochi ni simu yako tu una download vitu vyote kuanzia hiyi cadi nenda app ya ku download kisha andika ROP. Utaweka maelezo yako yaliokuwemo ndani ya hicho kitambulisho itakua wepesi wa kukiona kitambulisho chako au leseni yako ya udereva nambo mengine mengi ya kiserikali. Pia kuhusu atm wallet pia ishushe katika simu yako au smart watch yako utakipa kupitia simu. Tena huku Oman haina haja ya kulipa kwa namba kila duka lina mashine ndogo ya mkononi ya atm unaelekeza tu unaipa
2026-09-29 13:39:04
1
Haroun Suleiman :
mm najua gulf yote stima inapita chini vp oman stima iko juu?
2026-09-29 12:20:51
1
Hulka Mgeni Hulka :
Mie nimejificha Toka juzi
2026-09-29 12:59:14
0
Rasta Amy :
uongo mie nipo maabela
2026-09-29 12:22:44
0
Fatima Mohd :
Yani mm mwez uliopita nilienda mabela bila kitambulisho ila kesho kutwa natka nilitoka nikiweke kwenye poch kabisa
2026-09-29 15:51:21
1
Mwenetu :
Msako kwani tuko kariakoo!!! au Mwembe Tayari ? 😅😁😂
2026-09-29 19:51:09
0
Juma :
daah kwel kaka
2026-09-29 17:47:30
0
Jida Jida :
sina sikia kuna ofa ya kusafirishwa
2026-09-29 15:58:26
0
Stonetown :
Mbona barabara mbovu
2026-09-29 16:17:52
0
Mohd :
Tueleze vizur hawapo kisheria au wametoraka kw maboss zao
2026-09-29 18:22:40
0
Neyfath Haitham :
Asante kw taarifa 🙏🙏
2026-09-29 18:28:43
0
Safia :
mtihan wallah
2026-09-29 12:50:07
0
Marcin Salimu :
MR OVER SAMAHANI NAKUOMBA UNIANGALIZIE HIZO NYUMBA FENSIYAKE ZIMEISHIA KOZINGAPI..PLEASE
2026-09-29 13:29:12
0
خالو حبيبتي khaloo habibti :
2026-09-29 14:32:48
0
Side seven :
Ilo swala la kutoroka mbona umelieka kama ni jambo ya kawaida..weka wazi kama watu wanateswa.
2026-09-29 14:14:01
0
konde girl jeshi :
aya marafiki zangu kwisha watajua wenyewe mungu nijalie subra nisifate mikondoo
2026-09-29 11:18:43
2
Basal Asal :
waje wanishike mm niko ruwi nataka kwenda kwetu bure
2026-09-29 14:16:05
1
Muna :
Uwongo
2026-09-29 17:52:38
0
Maisha Kwel :
siondoki znzbr ntasota ivoivo
2026-09-29 18:20:38
0
Mrs mohammed :
Mimi sinaga ndoto ya kukanyaga wala kuijuwa hii nchi kabisa huwa siipendi hata naishia tu nawaskia watu lol😂 warabu weeh
2026-09-29 17:50:50
0
kalya :
Mie Nauza nyapu huu mwaka wa kumi na sijakamatwa
2026-09-29 18:22:12
0
it's Connie :
[Tears of joy][Tears of joy][Tears of joy] Yaani Mimi ningekua mmoja wao kama sio kutumia akili🤦
2026-09-29 11:21:36
0
To see more videos from user @mr_overr, please go to the Tikwm
homepage.