Mimi nilikuw mkrist nikabadil din nikaolew na muislam lakin tok aniowa ameonyesha makucha makubwa na makali mnooo ambay moyo wangu unavuja damu ndan kwa ndan😭😭 Sasa ap nilip nimeomb biblia kwa mpangaji nafany maombi ya rehem MUNGU anisameh na pia nip naomb maomb kupitia iy zabur ya 109 kwasabu chanz Cha ay maumiv yang ni mume wang Yan mpak najuta MUNGU asimame na Mimi kupitia iy zabur 109 na zabur ya 35 maan nimechoka natak nirud kweny ukrist na uyu mtu awe mbali namii
2026-09-29 21:06:40
124
Queen👑 :
Zaburi yangu pendwa❤️🥹🙌🏽inaguvu sana hii zaburi jmny🙌🏽
2026-09-30 12:02:38
17
Roey🌹 :
Me kuna mtu kanidhulumu ela yangu nikamsalia hio ila nlipofika katikati nkaona mmh hii kali sana ngoja niache 😂
2026-09-29 16:35:09
112
prize greet 🥰 :
aya ya ngapi Hadi ya ngapi 😳
2026-09-29 23:38:19
0
Ms Gee💕 :
Mimi pia ata kama mtu kaniumiza naogopa kumsomea hio zaburi makee weee🙌
2026-09-29 13:43:24
34
Linah🦋♑️❤️ :
Niliwahi kumsomea Mtu nilivofika njian nikajikuta nimebadilisha gia angani naaza maombi ya kutubu weee nikaona mm pia mbn sio mkamilifu kwahyo kuna mda kisasi sio kinzuri unajikuta unajilaani na wew pia bila kujua🥹🙌🏻
2026-09-29 20:44:38
17
MGlow cosmetics :
Siisomi tu nimemuandikia Mungu barua yenye majina yao na nimeiacha kwenya ukutasa huo na iwe kama daudi alivyoandika.
2026-09-29 15:35:36
17
empress khag🦋 :
mimi nilisoma nusu tu na ilifanya kazi ndani ya nusu saaa mtu aliaibika lakini huko mbele🙌🙌🙌🙌 hapana siwezi jamni
2026-09-29 20:51:24
8
Gee_Bear🐻 :
Kuna wakati unapitishwa mpk unajiuliza nilikosea nini kustaili haya [Teary eyed][Teary eyed][Teary eyed]
2026-09-29 12:51:46
11
Mary Hassani :
karibu usome biblia kwa undani zaidi🤝
2026-09-29 12:43:17
6
mwalimu Fabian :
bora wewe umetuwekea kabisa na sehem ya kusoma naanza kusoma kwanzia leo uwe unatuwekea kama hivi tafadhali
2026-09-30 18:01:53
7
SARAH :
Nikifika msitari wa tano sijalia aaah hiyo siku sijakumbuka mabaya yao walimwengu😂
2026-09-29 13:12:42
15
Salome Donald :
ogopa kusemelewa kwa Mungu
Mungu wetu anatupenda bwana😊
2026-09-29 13:00:07
6
cute vee backup :
kipind hiki nilichopo hii inanihusu aseee 🥺🥺mmbo. n meng jmn nashuhudiwa uongo mpk nimechok mm
2026-09-29 18:23:39
8
FEYQUEEN💜 :
Mi kumuona mkaka Mzuri kama huyu anamjua Mungu anakumbuka ata vifungu vya biblia huwa nafurahi sana yani kwadunia yaleo
2026-09-30 17:35:51
9
Elly :
kila kitu unachopitia iwe shida au nn kuwa na moyo.wa shukurani mm.nakumbk huu mwaka niko.first year nililala njaa 3 days lkn nikaenda nikamshukuru Mungu baada ya app kesho ake saaa 4 nikatumiwa 20k ,so jifunze kushukuru Mungu kwa kila unachopitia koz mm apo nilijiulz kuna watu wamelala njaa wiki nzima na kuzd hawana ata mwelekeo nikashukuru Mungu na nikaona Mungu anapenda moyo wa shukuran na sio manunguniko
2026-09-30 03:52:07
11
iiam__anny :
Tutendeni wema kwa watu maana hii Zaburi mtu akikusomea kwa kumaanisha huchomoi tuweni wema jamani. Na ukiamua kumsomea mtu jichunguze kwanza na wewe wangapi umewatendea ubaya
2026-09-30 15:08:45
7
dìçkñàtìœñ💪 :
hii zaburi inabanana na zaburi ya 35 na 38 🔥🔥hii unawashtakia kwa Mungu wale maadui zako ambao wanataka kukumeza
2026-09-29 15:13:14
5
glory :
Kam uliwah kumpenda, kumjali na hata kumuombea mamb mema kwenye maisha yake alf mwisho wa siku..
Acheni nimsomee tu mm😔
2026-09-29 19:46:16
5
its me 🥳 :
watu wanafki, eti wanaogopa kuisoma 😃 wakati huku mitaani wanafanyiana husda, ukiharibikiwa wanafurahi
2026-09-29 16:55:33
1
Janee :
alisalitiwa na mwanae absaloom,, akawachukua watu wake muhim akapanga kumuangamiza baba yake na mipango aliipanga na watu wa karibu na baba yake,,
2026-09-29 21:47:33
2
official-linah🦚😍🔐 :
inatisha ukiitafakari
2026-09-29 14:15:08
1
Serah🦋. :
Nimesoma nikajikuta nawaombea huku machozi ya kuwasamehe yakibubujika
2026-09-29 18:00:05
1
🦋pretty🌹nemy🍭💎 :
Barikiwa sana
2026-09-29 17:03:26
1
Anna🦋mwita💦 :
Ni mengi mengine huwezi simulia😳
2026-09-29 15:12:22
1
To see more videos from user @ernest_bigboy, please go to the Tikwm
homepage.