asante sana sister kwa ukweli wako mara mingi upitia hiyo hali
2026-09-29 19:02:23
1
Rehema :
nikweli.kabisa
2026-09-29 16:22:58
1
Dogo lee :
sai n 6years sijafika home🙄🙄
2026-09-29 19:10:15
0
Mutwiri comedy :
Kwani unanijua ivyo vyote
2026-09-29 15:32:56
0
Tony wa mumbi :
na huyo ni Mimi...my mum alipo kufa mzee akaoa ..walinitesa sana na mzee haku pelekea mahari Kwa kina mama yangu..ni Mimi nimetolea mama yangu..so siwezi piga simu