Mwenye nyumba binti yake alikuwa anatuletea dharau sasa samaki mmoja akioza wote wameoza 🤣
2026-10-15 15:30:31
2
Emmanuel gasper :
ukimlipa fund hela yote kabla hajaanza kaz
2026-09-30 07:05:59
11
coment master :
hapo tulikua tunajenga nyumba ya fundi wetu mkuu,,, yaan hatulipi chochote🤣🤣🤣
2026-10-01 09:03:24
7
mwanafyale :
mkuu njoo uone nyumba kama itaisha Leo au tuna miaka ya kusubili
2026-09-29 20:20:06
11
makwena house decoration :
ndiomana ukuta unapinda mnatupa kazi mafundi rangi🤣🤣
2026-09-30 18:43:40
7
RMK255 :
jaman bongo kuna mambo
2026-10-08 16:32:13
3
Gwaya HK :
pale hesabu ya mifuko ya cement imekua kubwa na advance imetoka kubwa ni mwendo wa kuchezea cement
2026-09-30 10:59:31
6
3.6 mstari wa 7 uluma sio mlez :
boss njoo uon mafundi wana chezea sumt
2026-09-30 04:28:09
3
EDU WISE TZ :
ivii bei ya cement ni ile ile au ni hii ilio panda gafra
2026-09-30 11:40:14
1
chad_umeme255 :
Boss anajua laknk😂😂
2026-09-30 07:44:57
4
Mtumba_Becca :
Pale ukiwacheleweshea mafundi Posho zao
2026-09-30 09:44:28
1
Bayou :
walahi Tanzania sihami🤣🤣🤣🤣
2026-10-08 18:38:46
1
@Sensei aman05 :
haaaaahaaaa
2026-09-29 20:11:52
1
kizee :
ndio maana tunaogopa kuwalipa mafundi pesa yote🤣
2026-09-30 09:50:12
1
De' official :
Kazi na bata
2026-10-08 19:21:44
3
John C Elisha :
boss akiwakuta nyie mna chezea sement Aya bwana
2026-09-30 10:43:28
2
Sålëxy🫀🖤brøwn :
Baada ya advance
mafundi wakajiamulia mambo😁😁
2026-09-30 12:37:30
1
King_suleyshi_26 :
🔥🔥🔥😂😂😂 Dah kazi imepata wafanya kazi kweli kweli
2026-09-29 11:48:48
1
Mrkorant :
ndo maana napendelea kupata Kwa kazi sio Kwa siku😅
2026-09-29 19:31:20
1
Ahmedyramaar :
Huu ndo ubaya wa kumpa advance af pesa ilobaki ikawa ni kidogo na ukiwafokea kesho wote watadai wanaumwa na ukizidisha wanakimbia kazi,ujenz ni kazi kwelkwel☺️
2026-09-30 06:11:46
1
Lordlove125🌹 :
Hiyo ndo inaitwa fanya kazi ka kurelax sasa
2026-10-15 20:07:17
0
Tonny~14 :
kwan mwenye nyumba anasemaj🤣🤣
2026-10-15 15:13:57
0
komba mwitu :
kazi mara bos. kaja
2026-09-29 12:46:31
0
To see more videos from user @fundi_wa_paving1, please go to the Tikwm
homepage.