@lady.ayshah: Idadi ya like na commets sio ndo idadi ya wateja Endelea kupost kuna wateja wengi ambao hutoona wakilike wala kucomment lakin wao kazi yao ni kuthibitisha muamala Endelea kuonekana na kusikika sababu biashara inayosikika na kuonekana zaidi ndio inayokaa kichwan mwa wateja #onthisday