@only_girl153: #only_girl153 🥀❤️ #Mapenzi 💔 #HisiaZaKweli 🥺 #Kumkumbuka 🥀 #MaumivuYaMapenzi 💔 🕊️ 🥹 ❤️‍🩹

👑💖 Only Girl 💖👑
👑💖 Only Girl 💖👑
Open In TikTok:
Region: TZ
Tuesday 29 September 2026 11:28:20 GMT
4387
219
8
22

Music

Download

Comments

habiba.mustapha19
Habiba Mustapha :
unatafuta sehemu iliyotulia yaana mahali patulivu pasipo na kelele ukiwa mwenyewe unaliaaaaaa 😭 yaani unatoa ya moyoni unapiga keleleee kisha unaachiliaa yaan utakua huru na utakua na amani ya moyo saafiii nakwambia
2026-09-29 13:59:44
3
triphayna.x
triphayna.x✨💫💌❣️ :
daanh!! wallah inauma sanaaa Mimi pia napia hiyo hali sasaivi yangu hata Kuna baadhi ya vitu nikitaka kufanya nakumbuka sana na kuanzia kulia huku natabasamu naona kama utani🥹🥹😭😭 am so lonely 🥹😔
2026-09-30 10:09:25
3
ramadhanisaidisai
Ramson Tz☠️ :
tuna jifunza kupita makosa yetu kila siku
2026-09-30 18:20:14
1
user4124538122523
Mur.thar🥰🥰🥰 :
kwel inaum san ishanikut hii
2026-09-30 03:02:19
1
mrspreston6
Ma Tee❤🤍 :
huwa nalia tu mwenyewe
2026-09-30 07:10:48
1
princesscutezy45
Princess cutezy❤🌹🦋 :
ndo hali nilionayo mm sai nataman hata nisione sik nyengn🥹
2026-09-30 09:41:43
0
user8440312103754fatuma
Fatuma tausi :
Sitawahi penda tena n moyo ntapenda na macho n mdomo tu
2026-10-01 13:00:33
1
To see more videos from user @only_girl153, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About