@islamicswahilinet: HAKUNA DHARURA KWENYE SWALA 5 Assalaamu Alaikum Warahmatullaahi Wabarakaatuh Mtume Muhammad ﷺ amesema: “Mwenye kumjengea Allah msikiti, Allah atamjengea nyumba mfano wake Peponi.” (Bukhari na Muslim). Hii ni fursa adhimu ya kushiriki katika kujenga na kukamilisha Nyumba ya Allah iliyopo Utengule, Wilaya ya Kilolo, Mkoa wa Iringa. Kila tofali, mfuko wa saruji, mchanga, kokoto au shilingi utakayotoa kwa ajili ya ujenzi huu ni sehemu ya Sadaka Jariyah, ambayo thawabu zake zinaweza kuendelea kunufaisha waumini hata baada ya maisha yetu duniani. 🤲🏽 Usidharau kidogo unachoweza kutoa. Huenda kile kidogo unachokitoa kwa ikhlasi kikawa sababu ya kupata malipo makubwa kutoka kwa Allah سبحانه وتعالى. Tushiriki katika ujenzi wa Nyumba hii ya Allah kwa kadiri ya uwezo wetu, ili iwe sehemu ya kuswali, kumdhukuru Allah na kuwafundisha vizazi vijavyo. Kwa anayependa kushiriki, unaweza kutuma mchango wako kupitia. M-PESA: 0769 756 490, YAS | MIX: 0715 868 990, HALOPESA: 0619 115 190. Jina: MUDATHIR ISSA YOYOTA. #islamicswahilinet
Islamic Swahili NET
Region: TZ
Tuesday 29 September 2026 12:02:40 GMT
Music
Download
Comments
Bint Ibrahim :
niliombea bbngu mpka saii ameshika swala tano namuombea yarabi azidi kumuongoza aachane kbsa n dunia
2026-09-29 13:13:34
29
lion jungle :
massage is clear shukran
2026-09-29 15:30:49
0
5 stars ✨ :
absolutely really😳
2026-09-29 18:00:59
0
shekhe ww ni wawapi nakupnda sn wallah upo umenyoka mawaidha yako
2026-09-29 16:04:40
13
BUGHAA011 :
😭ya Allah make it easy for us
2026-09-29 19:00:52
0
Salha 🌹🇹🇿 :
subhnallah 😢 yarrb tujalie tuwe wenye kushikamana na swala na utujalie mwisho mwema 😢🤲🤲🤲
2026-09-29 13:53:46
6
Malasa44 :
manshallah 🙏
2026-09-29 12:07:33
4
one day yes 🤲🕋🤲mambo :
💯 kweli kabsa sheiker maneno mazito 🥰🥰🥰🥰🥰
2026-09-29 17:51:49
1
Abass Ally :
Uzingizi na sahau inahukumu juu ya swala?
2026-09-29 16:19:54
0
Ajm :
Mungu atusaide kusimamisha swala zote Tano
2026-09-29 17:04:23
1
Abduly salumu :
wewe kiongozi unaongea pwent sana mungu akulinde sana..
2026-09-29 16:56:08
1
abdallah perera🇵🇸 :
nauliza tu huo mskiti haumalizi siku zote unachangishwa🤔
2026-09-29 13:53:08
0
Siraj yusufu hassan :
الله الرحمن الرحيم الملك القدوس السلام المؤمن المهيمن العزيز الجبار المتكبر
2026-09-29 14:42:09
2
Raniya. khamisi :
2026-09-29 19:31:22
0
ramoyu kim :
allah tufanyie wepesi katika nyoyo zetu tuipende swala
2026-09-29 14:17:22
2
Dannurren :
Baraka ALLAH Fikhy
2026-09-29 13:36:52
1
aminabante1 :
asha Allah e
2026-09-29 18:47:47
0
dula kupaza :
Allahakibaru
2026-09-29 19:05:04
0
Omary Msongella :
ya allah nifanyie wepes kat kaibada
2026-09-29 18:06:02
0
Zaituni Mohammed :
Subhan Allah
2026-09-29 17:57:50
0
@isha :
duuh mungu nifanyie wepes niwe kama mama angu
2026-09-29 18:28:48
0
user4975843189489 :
🥺🥺 mchozi yananitoka wallahi. shekhe anatoa mawaidha kutoka moyoni na yanaingia moyoni moja kwa moja.
2026-09-29 18:16:05
0
Asnaly boys :
subhanna Allah 🙏🙏🙏
2026-09-29 14:55:07
1
mwanandeke Justin :
sheikh Allah atujaliye mwisho mwema inshallah,,uko wapi sheikh
2026-09-29 18:14:58
0
Yassin Kasele :
mashallah
2026-09-29 18:50:39
0
To see more videos from user @islamicswahilinet, please go to the Tikwm
homepage.