@sauti_online: Leo Septemba 29, 2026 mgomo wa madereva wa mabasi na malori umetawala katika vituo mbalimbali vya mabasi Nchini Tanzania kufuatia kile wanachoeleza ni kupinga mfumo wa pointi kwa Madereva. Mgomo huo unakuja ikiwa ni siku chache baada ya Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Patrobas Katambi, kueleza kuwa mfumo huo wa pointi kwa Madereva upo katika hatua ya majaribio.

Sauti Online Tv
Sauti Online Tv
Open In TikTok:
Region: TZ
Tuesday 29 September 2026 12:06:33 GMT
235044
15861
222
233

Music

Download

Comments

user5321162150091
Sylvester katundu. :
dereva ni kama doctor wanabeba roho za watu waheshimiwe.
2026-09-29 13:36:54
216
romana9340
romi j :
lesseni ina point3 maana ake nn mbn siwaelew
2026-09-29 19:31:55
0
faridafadhili295
dad's daughter :
point ina maan gn madereva
2026-09-29 19:50:13
0
user3273516001274
D money 💰❤️ :
ss why overtake hapo ni sawa au si sawa
2026-09-29 14:26:41
16
mwamkinga.daughter
Lit💫❤ :
me mwenyew nimekatwa point na cyo dereva😂😂 msinifokee nina mimba
2026-09-29 20:10:18
18
aishamsangi118
Aisha Msangi :
biashara ya kutishiana ni mbaya watu wamevurugwaaa ohoo[Laugh approved][Laugh approved][Laugh approved][Laugh approved]
2026-09-29 17:11:08
4
abrah.outfits
Abrah Outfits :
JPM HILI ANGELITATUWA NDANI YA SIKU MOJA🤣🤣🤣🤣🤣 ILA HI YA SASA KALIIIIII
2026-09-29 14:33:31
15
samatta7086
SHABIKI WA SAMATTA 10🫅 :
huyo mmoja nishabiki maarufu sana wa nyuma mwiko
2026-09-29 14:29:23
15
user9824786819799
jack son :
poleni
2026-09-29 17:31:13
0
user2925780518773
majita78 :
wanainchi acheni kushabikia maneno ovyoo awa jamaa wanatumwaga ovyoo adi tunakufa Shelia inawabana wanaanza kelele je sisi wanaotuuwa wanaichi hawasemi
2026-09-29 18:47:12
5
ashuorahtanzanian
Tinah :
msitupigie kelele simlisema 5 tena
2026-09-29 17:01:57
7
josam.mutiganzi
Josam Mutiganzi :
Madereva Mungu awatangulie jamani
2026-09-29 17:39:49
10
mumylei
myymy :
duuuh iih nchi inakoelekea sasa tutajikuta ata sisi laia wakawaida tunakatwa poit 😂😂
2026-09-29 18:11:00
10
yudapaulo0
PO_SMART_ACCESSORIES :
Nchi Ina mambo Ya kiwaki sana
2026-09-29 15:14:51
7
gracr.cute
gracr cute💞💕 :
ivo ivo weken migomo ad kieleweke tumechokaaa
2026-09-30 12:20:56
2
saimonimathew315
Saimoni Mathew :
huundiomsimamowetuu
2026-09-29 16:42:35
3
barakashaibu117
Baraka Shaibu :
kitonga wamepewa toch wachoma mahindi askar wamekaa mwisho wa mlima hili swala limekaaje
2026-09-29 14:16:30
8
shengohamza
Shengo Hamza :
mbna wao STL mna zina vunja sheria jaman au wao wanaendesha ndege jaman 2pambne jaman nawunga mkono....😢😢😢 nani kama baba R I P baba JONI NIMEREWA au POPE aaa sio JONI MAGU????
2026-09-29 16:09:08
5
azambages
Azam :
Kwann wanafanya majaribio bila maridhiano ? Naona wakili wamefanya makosa kwa Madereva basi na tukitaka kujuwa hili jambo ni janga angaliya livyotatuliwa katika kila mkoa utajuwa kuna shida sehem
2026-09-29 13:14:47
6
mtotowasamia1
ELISHA INSTRUCTOR :
miundombinu hakuna kweli
2026-09-29 16:47:55
3
daudindembo
daudindembo818 :
daaaa poleni sana kaz ngumu
2026-09-29 20:22:17
3
isihaka2025
2018 :
dah Aiko sawa Kam atuna rais
2026-09-29 20:21:42
2
nimme.4
.......... :
Kuna siri gani kwenye 29tarehe 😳 sielewi
2026-09-29 19:03:45
4
lamom_amorah
amorah_graphite💫 :
wenye sup na wako mikoani...oyeeh😂😂😂😂😂😂
2026-09-29 19:37:58
0
missimelda3
🦋pretty imee🪽 :
kuna mtu anasema tisiwasikilize madereva kwani wao hawaogopi kufaa au🤔
2026-09-30 10:53:40
0
To see more videos from user @sauti_online, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About