vp mtu akitongoza mkeo akikwambia anafanya majalibio kuwa mkeo ni mwaminifu utamuelewa
2026-09-29 13:09:11
50
mgemaemmanuel6 :
upasuaji huwezi Fanya majalibio kwa mwanadam hiyo haipo,?
2026-09-29 13:04:22
14
patha Deogratias :
Kwanini msifanyie majaribio kwa madereva wa serikali?
2026-09-29 16:04:09
1
mashaallah bulushi :
Good point
2026-09-29 14:01:58
1
last born :
uliwahi ona doctor anafanya majaribio ya upasuaji kwa mtu aliye hai una uhauhakik na hilo
2026-09-29 13:23:44
4
Raymond.25555 :
yastutishe wakat mtu anakatwa point kiukwel kweli ooh
2026-09-29 13:05:00
3
s1caraccessories.tz :
polis wangap ni madereva s mungekusanya lesen za polis wote Tanzania mukafanya majaribio
dokt gan anafanya majaribio bila dokt mkuu kusanyen lesen za polis mufanye majaribio
2026-09-29 13:33:49
2
Torohoody_@⚠️ :
Dictator
2026-09-29 13:10:34
0
Travis the driver :
Humble
2026-09-29 13:49:34
1
linahbabylaizer2 :
Mungu akulinde uko na ujasiri mkubwa sana nimependa maswal mazur mno
2026-09-29 13:12:45
11
jupter :
bado ngomo wa wafanya biashara bado mgomo wawa walimu
2026-09-29 14:32:14
0
Floxwhite🈹️ :
jamaa kauliza swali zuri sana
2026-09-29 14:06:16
3
MD :
Majibu kama majibu,
2026-09-29 13:57:27
1
BA_CHARLO_🌎 :
good point
2026-09-29 12:57:18
5
Saidi mbavu Kimbe :
uyo jamaa aneuliza ayo maswali mh mh
2026-09-29 14:04:10
1
monicah :
hatuutaki full stop
2026-09-29 13:58:07
1
Aluna Zedy Swaibu :
ujue selikali yetu ingekuwa ina wapa huuru watu kuongea kuna watu wana upeo wa kuongea ira nafasi izo wananyimwa ni shida
2026-09-29 14:46:53
1
Shilinde Maico :
shida hawasemaji ukweli
2026-09-29 14:06:15
1
c k d e s i g n e r :
POLISI WANAHUSIKAJE TENA KWENYE PUBLIC TRANSPOTATION ?? WAZIRI HUSIKA YU WAPO?? HAPA LATRA WAPO WAPI??
2026-09-29 14:11:25
1
Jeff Ryder744 :
Hana majibu hata
2026-09-29 13:03:03
2
👑 KiBELLa oG :
Jeshi la polisi hawana mawasiliano kwani!
mana kila mmoja anaongea lake juu ya ili
2026-09-29 13:41:47
1
👤 kino tz :
Kwaiyo majaribio ya police kupiga risasi watu
2026-09-29 13:40:39
1
user2348605550028 :
jamani madeleva waselikar wanendesha vibaya sana
2026-09-29 13:40:36
2
Dreamsoft Technologies | Apps :
Tunafata kauli ya waziri😂
2026-09-29 13:32:49
0
To see more videos from user @mrsuguru_tz, please go to the Tikwm
homepage.