Mungu ni mmoja, lakin sisi wanadamu hatuabudu Mungu uyouyo (we don’t worship the same God) Some are worshiping gods na still wanaita iyo miungu ety Mungu. Ukisema Mungu ni mmoja hakikisha ni Yule anaejidhihirisha in different personalities ( GOD THE FATHER, GOD THE SON: JESUS CHRIST AND GOD THE HOLY SPIRT)
2026-09-29 15:52:49
1
user8106323126182 :
🙏 najivunia kuwa MKRISTO yesu kristo ni bwana na mwokozi wa maisha yangu
2026-09-29 17:50:34
12
Erick msafi :
wakristo mwenzang tumsifu yesu kristo 🙏🙏🙏🙏
2026-09-29 21:58:00
8
+++the.official Mad rast+++ :
no Christian no Islam just Free Man RASTA✌
2026-09-29 19:26:29
3
bahat mkilindi :
hebu nipe hilo andiko kuwa ukristo ni dini. wallah naacha uslam.
2026-09-29 18:17:18
5
Tifa Edward :
wewe kaka mungu ni mmoja hakuzaa wala hakuzaliwa wala hamna wa kufananisha nawe
2026-09-29 14:52:32
6
kaykay :
pastor umechemsha mbaya Sana.
quran iliteremshwe Kwa awamu tofauti tofauti ila Kwa mtu mmoja ndio akaileta Kwa umma.
Bible ilikusanywa vitabu vilivyochapishwa na watu tofauti tofauti wakisimulia jinsi Yesu Kristo alivyofundisha, wengine wakijichanganya..kama Yesu alikufa Kwa ajili yako, inamaanisha hakuna dhami maana kosa moja haiezi hukumiwa mara mbili..