mumebaki wachache sana kama wewe naisi wewe ndo wa mwisho
2026-09-29 19:38:10
7
Zahara :
Na kweli😂 hii haina kam baki kunywa soda bro nalipia
2026-09-30 09:18:34
4
mamasamir792 :
Sanamu lako nalijenga mim mwenyewe babaa
2026-09-29 20:42:11
6
fatmmuss0 :
sina cha kucomment umemaliza kila kitu🤐🥺🤗
2026-09-30 07:36:58
3
cute popo🥰💍🥀💞🌹 :
mwanaume wa kwnza kuongea ukweli
2026-09-29 19:29:13
5
noellaisevambesa :
nipate mm wapi kama huyu ?
2026-09-30 10:01:13
1
Queen Eve :
very true
2026-09-29 13:18:33
5
Avianpernado :
mm wangu amella na wanawake 6 namsamehe nikiamini anaweza badilika lakni sioni mabadiliko Hadi nimechoka nashindwa nifanye nn nimechoka na moyo unaumia😭😭😭😭 nipeni ushauri aki
2026-09-30 13:31:08
0
ma p :
kaka tuma no yako nifanye maarifa
2026-09-29 18:09:22
5
rose mary :
ukweli kaka
2026-09-30 05:28:12
1
Iman🏈🕊️ :
nikweli
2026-09-30 05:11:53
1
Ann :
ukweli
2026-09-30 02:22:25
1
Debora :
👍
2026-09-29 20:53:25
1
Evelina William :
kwakweli hii ni kweli kabisa
2026-09-30 04:58:11
2
jovicleophace :
mungu akupe maisha malefu
2026-09-30 05:30:37
2
MAMA SAM❤️🥰 :
Ukweli kabisa bro
2026-09-29 20:52:08
3
Mrs 💗pirlo🙈💦 :
kabsa
2026-09-30 04:41:23
1
Biba masuod :
Kaka nakukubali sana maneno yako
2026-09-30 08:07:40
1
To see more videos from user @shukrani.kapange, please go to the Tikwm
homepage.