@manando.gp5: Moto juu ya moto @bin zuber @Official Ⓜ️veme TZ 🇹🇿✊🏿 @HEHE BOE @Seleman Selle Diego Nisha acha ndala huku

MANANDO GP
MANANDO GP
Open In TikTok:
Region: CD
Tuesday 29 September 2026 13:01:58 GMT
279919
17082
674
502

Music

Download

Comments

makaphume2
babujii :
hapo mwisho ndio nimejua wewe ni mtanzania 😂
2026-09-30 10:43:35
178
isaya113
ISAYA MWANYONGA🛣🙏 :
kumbee na ss Tz ni wababe umetishaa sanaaa family
2026-09-29 21:13:39
165
mtk_for_life
Naadir khan :
dokomaa nani anaijua🥲
2026-09-30 07:33:26
18
pantontzbundara1
pantontzbundara :
Dah sarutee sana sema munapitia changamoto sana madereva 🫡🫡🫡🫡
2026-09-30 06:49:24
25
n.c.t.c1
N.C.T.C🗝️ :
daar mambo ya congo hayo hakika congo inatufanya madreva tuwe majasili zaid🤔road life
2026-09-29 22:17:08
33
sellemanmlaki09
Seleman Selle Diego :
congo n mambooooo😂😂😂pole mzee mwenzanguuu
2026-09-29 14:21:45
5
shakazulu2538
@SHAKAZULU☘️🇿🇦🇿🇦 :
Anataka makuta ue ndo uliemuajir kaka sema respect kaka umebisha 🫡🫡🫡
2026-09-29 21:07:24
9
nice.msabaha
nice moves :
umenieshimxha
2026-09-29 22:39:03
10
pas_cal.ke
Pascal Ke :
Usinichanganye na Serkali yako😂🤣
2026-09-30 04:11:35
7
eddy379090218517
eddy official :
nakubali mpambanaji
2026-09-29 21:05:57
9
bin.mawanja
Bin mawanja :
Mungu akutangulien tuu maana hiyo nchi sio poa
2026-09-30 03:11:20
7
mtusafi47
Mtusafii47 :
asanye kaka awa jamaa dah changamoyo
2026-09-30 04:08:07
5
emmanuel.1og
Emmanuel 1OG :
Hoya nadaiwa buku na Sina vocha nifanyaje ushaulitu👑
2026-10-02 18:46:10
5
chad_umeme255
chad_umeme255 :
mtie vibao qma uyo😊
2026-09-30 09:56:38
8
the.othborn
ISOTE style💥🕳 :
kwa heshimaaaaa
2026-09-30 02:37:39
12
mr.exaudriver2
~MR EXAU~✨ :
Congo ni matatizo mzee 😢
2026-09-30 07:21:18
8
user1420375405762
Athuman kaka :
Dah poleni sana ukirudi unakutana na point
2026-09-30 03:42:51
7
kingsultan184
kingsultan1@ :
pamoja sana nwamba msimamo uwo ndo unaitajika
2026-09-30 13:02:33
5
tiffah.boss.rady
Tiffah boss lady :
kaka vipi nani uyoo unae sumbua anatujua vizurii🤣
2026-09-30 09:25:54
14
irenekitomary7
IRENE KITOMARY :
daaaah nimeamini madereva wanateseka sana Mungu awatie nguvu
2026-09-30 10:51:49
8
mulekya6d
MUMBERE MULEKYA :
Natamani kuwa tani boy wako
2026-09-30 06:36:36
14
sikubali.1
SIKUBALI :
Rudi bongo tukukate point 😄😄
2026-09-30 10:46:21
47
zakariasamsoni0
zakaria Samsoni kmc :
ha ha haaaaa alijua poa poa kumbe sio poa!
2026-09-30 04:28:45
10
ashurachiapo
shuu@ :
Daaah madereva mnapitia mnapitia magumu mwenyezi mungu awatie nguvu Ila safi arudiii tenaaaaaa
2026-09-30 10:38:24
6
jolino41
JOLINO THE KING 🇨🇩🇨🇩🇨🇩 :
Bwana huyu anapenda sana kuwasumbua madereva; hata alinisumbua mara moja na baiskeli yangu.🤣
2026-10-01 20:57:46
6
To see more videos from user @manando.gp5, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About